Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

Ugaidi haupo kivipi na ikiwa mmeshikilia watu na kesi za ugaidi? Na mmezuia mikutano kwamba kuna ugaidi?
Hii ndio shida ya veggies always huwa wanakurupuka. Wana mchezo wa kuziba shimo la panya kwa kipande cha mkate..!! 😹
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

the thing has back fired# acheni Mungu aitwe mungu
 
Yajayo yanafurahisha...
Hawa wote walioko madarakani sasa wanapitia msoto kimawazo, Inafikia stage waliokuwa na akili wote waliachia ngazi...

Ni upumbavu kujua wewe ni mjinga na bado ukajitetea ya kuwa wewe ni mwerevu
 
Tayari amefanya kosa kuingilia mahakama.

Anasemaje hakuna ugaidi wakati watu zaidi ya 50+ wamekamatwa na wameshitakiwa kwa makosa ya ugaidi?
Tamko la kuzuia mikutano anatoa Waziri, tamko la kuruhusu anatoa msemaji wa Polisi.
Polisi wanasema wana magaidi 130, waziri anasema hakuna magaidi
Polisi wanapeleka kesi ya Ugaidi, Waziri anasema kuna viashiria!

Ni wapi duniani mtu anashtakiwa kwa kosa la ''viashiria''

Ni vurugu tupu!
 
nini kifanyike
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Sasa kama kuna viashiria vya ugaidi afcon itakuaje na kuna viashiria vya ugaidi?
 
Tanzania ugaidi upo tena ugaidi unaofadhiliwa na dola, nani nchi hii asiyejua msamiati wa wasiojulikana? Watu hawa wasiojulikana wameteka, wameumiza, wamepoteza na kuua mamia ya Watanzania, hawa ni magaidi.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Halafu huyu Kipenyo ana ABC za upinzani alipaswa kusimama na ukweli.
 
hata Bi Mkubwa nae alisema Kuna wanaharakati Wana vitendo vya kigaidi.
Mother Paka
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.

Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.

Hakuna ugaidi wakati masheikh mbalimbali waneshahukumiwa kwa makosa ya ugaidi?
 
Back
Top Bottom