Byakatonda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 475
- 927
Au basi uaneni
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.
Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON
Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.
Huyu jinga , chawa, katili, muuaji. Mwaipopo mbona hajafikishwa mahakamani kwa kuwa na vikundi vya kigaidiWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.
Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON
Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.
Tanzania haina ugaidi halafu unashikilia watu kwa tuhuma za kutenda kosa la ugaidi?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.
Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON
Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.
Yes gentleman,Tlaatlaah vipi Tanzania kuna magaidi.?
Raisi ana kingaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii.
Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON
Amesema vyombo vya dola vinaendelea kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayehusika na vitendo vinavyokiuka sheria bila ubaguzi.
Kwel kabisa una akili ndogo kabisa mkuuKatambi Patrobas, one of the best ministers of the interior I have seen. Viatu vimemtosha hakika.
yamepoteana mazima. Magaidi ni wale waliompiga risasi Lissu, walioua mzee Kibao, waliowateka kina Polepole, Mdude, Soka, et alMa
Maccm bana.. Hayana kauli moja kwenye lolote🤣
Hawa Akili hawana 😂Tayari amefanya kosa kuingilia mahakama.
Anasemaje hakuna ugaidi wakati watu zaidi ya 50+ wamekamatwa na wameshitakiwa kwa makosa ya ugaidi?
Wizara ya Mambo ya Ndani imeshiriki kikamilifu kuichafua ccm tangu 2010.Ma
Maccm bana.. Hayana kauli moja kwenye lolote🤣
Asante Sana kwa kunikumbusha mkuu.Kwel kabisa una akili ndogo kabisa mkuu