Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria


Safi Sana Mhe. KATAMBI

Kazi Yako imetukuka, hatuna deni na wewe piga kazi wananchi wa Tanzania waishi kwa Amani
 
Huyu jinga , chawa, katili, muuaji. Mwaipopo mbona hajafikishwa mahakamani kwa kuwa na vikundi vya kigaidi
 
Tanzania haina ugaidi halafu unashikilia watu kwa tuhuma za kutenda kosa la ugaidi?
 
Tlaatlaah vipi Tanzania kuna magaidi.?
Yes gentleman,
wapo karibu katika kila nchi duniani.
Hapa Tanzania waliwahi kuulipua ubalozi wa Marekani na kusababisha maafa, lakini pia hata majuzi tu waliwahi kulipua vituo vya polisi, vituo vya mafuta, kuchoma makazi ya watu, kuharibu miundombinu na kuwaua wapiga kura na familia zao ambao walikataa kufuata masharti yao ya kuungana nao kufanya ghasia n.k

so,
Tanzania magaidi hatari zaidi wapo na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wanafanya kazi nzuri mno kuwabaini, kuharibu mipango ya ovu na kuyasambaratisha magenge hayo ya kigaidi yanapobainika kote nchini ๐Ÿ’
 
Raisi ana kinga
 
Tayari amefanya kosa kuingilia mahakama.

Anasemaje hakuna ugaidi wakati watu zaidi ya 50+ wamekamatwa na wameshitakiwa kwa makosa ya ugaidi?
Hawa Akili hawana ๐Ÿ˜‚

Wameona watu wamechacha maa kuwa report CAF na Fifa ili Afcon isifanyike so wanaanza kuhangaika

Wakati wamejikaanga wenyewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜
 
Popoma katika upopoma wake,nchi haina ugaidi ila inamiliki magaidi,inabidi marekani waanze na huyu.Akibanwa mbavu vizuri atasema huko hao magaidi wa tz hufanyia ugaidi wao. Nchi inavituko hii.Watu wanasomea ujinga tu na kupewa vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ