Katavi: Mwalimu wa Mafundisho akamatwa kwa kulawiti Watoto wanne

Huyu jamaa awe chakula ya nyapara mademu wa buku wamejaa unapata UTI unatibiwa kwa ten maisha yanaendelea.
 
Japo kwa kiongozi wa dini kamahuyu inajulikana jambo sahihi lililompasa kufanya, lakini kinacho shangaza hata kama ameamua kufanya dhambi ndio aamue kuwanajisi watoto!? hayo yote hajayaona?
 
Tukubaliane kwanza, siyo dini bali baadhi ya wafuasi wa hizo dini.
Hili lipo wazi ila wengine hutumia habari kama hizi, kama fursa ya kubeza dini.

Mbona wapo watu ambao hawana dini na wanafanya vitendo kama hivi au vichafu zaidi ya hivi, hapo napo wanasemaje?
 
Japo kwa kiongozi wa dini kamahuyu inajulikana jambo sahihi lililompasa kufanya, lakini kinacho shangaza hata kama ameamua kufanya dhambi ndio aamue kuwanajisi watoto!? hayo yote hajayaona?
Mkuu,mimi nahisi hawa jamaa kuna tatizo la ki akili,sio bure,
 
Hivi hizi dini (Christian, Muslims etc) mbona zina haya mambo sana ya ulawiti kwa watoto wadogo? ila ukiwakuta madhabauni huwezi kudhania kabisa.
Swala la ulawiti ni la mtu binafsi, dini haihusiki na ulawiti.
 
Ni tabia na uamuzi wa mtu mwenye fahamu zake. Sio dini. Mazingira yoyote akiwapata wahanga wake atawadhuru tu, kama ni mwalimu darasani au hata mwengine mtaani.
 
Utakuwa ushawahi Kulawitiwa huko na WA Katoliki sio bure
 
Sio christian, unawaingiza wakristo wote kwenye makosa ya wakatoliki.

Wakatoliki ulawiti ndio kazi yao. Hao wakristo wengine unawaonea bure ila wakatoliki hiyo ndio identity yao.
Ushawahi kupigwa Para na Wakatoliki Mara Ngapi Kiongozi ?
 
Wapitishe sheria tu kuna baadhi za kazi asipewe mtu mpaka AOE/AOLEWE yaani awe kwenye ndoa mambo gani? Sasa hayo
 
Mwalimu wa dini? Hahahaha, jamaa kaona asiachwe nyuma, yaani viongozi wafaidi peke yao weeee weeeeee, hii hatari sana,
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Mwalimu kafundisha kwa vitendo🤣
Hakuna jipya hapo
 
Hivi hizi dini (Christian, Muslims etc) mbona zina haya mambo sana ya ulawiti kwa watoto wadogo? ila ukiwakuta madhabauni huwezi kudhania kabisa.
Dini haziwezi kufanya hivyo na hazina vimikia vya kufanyia hivyo.
 
Sex education kuanzia wtt wa kindergarten. Lazima kuwaelimisha vitu kuviripoti ni vibaya na vya sio kawaida
 
Asante Mungu haya mambo hajayafanya muislam tungrshambuliwa hadi tukome. Na angekuwa kafanya ustaadh kesi ingechukua wiki tu angefungwa lakini kwa huyo itamiliza miaka na kuachiwa huru kama tule padri aliyetia mimba kident kule moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…