Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,011
Reaction score
1,681
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.
walimu.jpg
walimu.jpg
 
Ndg waandishi penye utata, muwe mnawahoji vzr kabl ya kukimbia kwenye keyboard na hivyo vikamera na Vitape recorder vyenu.
Nao ni binadam ukizingatia public speech zina changamoto nying kw wengi, nao ni binadam,
 
Kwani shule imekuwa sector ya afya
Hata afya wanafanya rotation..sasa sijui kama anataka labda na walimu waanze shift kama manesi na askari.
Ila tatizo wengi hawajui hata mwongozo wa masaa ya kazi ukoje. Walimu ni saa 1:30 hadi 9:30( masaa 8 kwa siku) masaa 40 kwa wiki.
Hiii kitu attached ndo hawasomagi kabisa. Mtu anatengeneza tu sheria zake na watengenezewaji wanapokea tu maana wote hakuna anayeelewa ukweli uko wapi. Kama safari ya vipofu vile

20220112_134235.jpg
 
Back
Top Bottom