Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

Hivi ile bange wanayosema ni makapi ambayo ndiyo wabongo wengi tunavuta inaitwaje?
 
Sawa, saa24 sio tatizo ila na R.C. Mwamvua asisahau kusema walimu gani watakua shift ya mchana na wepi wakua shift ya usiku
Kama nurses na Doctors wanavyofanya tuu
 
Ndiyo maana misokoto ya ber-ngi inapotea vituoni kumbe watumiaji wamekua wengi

Nimekosa mimi, nimekosa sana 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.View attachment 2077845View attachment 2077845
huyo RC mbona mrembo hivo, au wanaundugu na samiah,

afu ajue kuwa walimu nao wana miradi na kazi zao za kusimamia. Hizo saa 24 inakuaje hapo.
 
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.View attachment 2077845View attachment 2077845
Yaani huko Katavi kuna mzazi aliwahi kupeleka mwanae shule SAA 7 usiku? Hivi CCM huwa inawatoa wapi Mburula kama hawa?
 
Hapo ana amaanisha kuwa watoto wote waandikishwe kwa wakati ,hiyo ni misemo TU!
Msiwe mnashupalia vitu vidogooooo
 
Yaani mtu asipige miti mkewe kisa mke amekaa shuke masaa 24, yeye ndio atakava hilo pengo au., yaani mie nimeoa halafu nilale kama NYOKA kisa mku wa wilaya kasema. [emoji23]

Hawa wengine wanakuwa hawajagegedwa vizuri wanaishia kuropoka, wanaume tujitahidi kukamua wake zetu, haya matamko ya hovyo yafe, nchi ishakuwa mikononi mwao hatuna ujanja zaidi ya kuwagongelea misumali vilivyo.
 
Waandishi wawe wanapewa fursa ya kuuliza maswali, zama hizi public speech zinakosewa sana.
 
Ndg waandishi penye utata, muwe mnawahoji vzr kabl ya kukimbia kwenye keyboard na hivyo vikamera na Vitape recorder vyenu.
Nao ni binadam ukizingatia public speech zina changamoto nying kw wengi, nao ni binadam,

wakuwapi waandishi tanzania wengi wanajua kuandika habari za wasanii kuna mkuu wa mkoa wa dar amefariki alisema waandishi wa habari wa tanzania ni waandishi wa barua zamapenzi
 
masaa 24 watalala saa ngapi? nakesho yake mwalimu gani atakuwepo wote wana usingizi
 
Back
Top Bottom