LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Shida moja mbowe anakitumia siasa kama sehemu ya platform kwenye mambo yake hata hizo biashara zake, muda utasema.Huwezi kung'ang'ana miaka 20+ bure tu kwenye siasa.Hadi leo najiuliza, kwanini Mbowe amejitakia aibu hii? Kwanini asingestaafu kwa heshima?
Na akileta uhuni katika sanduku la kura ndio ataiua CDM kabisa!
Heshima kwenu wajumbe wa Katavi na wote mnaomuunga Lissu mkono, mabadiliko ni sasa.