KATAVI: Walimu Zaidi ya 200 Waandamana ofisi za CCM kudai Haki yao ya kupandishwa madaraja

  1. Tarehe 1 mwezi wa 10 watapata promotion amesikika Waziri akisema, je hili ni igizo limeandaliwa kwa lengo maalumu? Yaani promotion inakuja siku mbili baadaye, walimu wanakodi matenti na kuandamana kwa kujiamini bila kusulubiwa na polisi.
 
Wameniamsha.

Eti wamerudisha Kadi 😲👀, ?

'ah' kumbe ya mpwayungugu.

Rudisha Kadi, sio kwenda kuandamana tu, by ze way kurudisha kadi ni kuandamana-its a form of Protest.

chagua kwa umakini na uangalfu 2025.



Heko Walimu 🤝 wa Mpwayugungu
 
Kwani huko ccm ndio wanapandisha madaraja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…