Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natokana na baba ambaye ni mwalimu lakini na yeye anawashangaa wenzake hawa wa kizazi hiki! Nachelea kusema ni majinga mno! Sasa huko cccm ndo Kuna nondo au cement za kujengea hayo madaraja🥺🥺 upuuzi mtupu!Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates
Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates