Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wala hawastahili kupanda hayo madaraja hawajitambui.Kwann hawakuelekea kwa DEO wakaamua kwenda ccm? Ccm na madaraja ya walimu wapi na wapi?
Waziri ni muongoTakriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates
Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates
Waalimu wengine mikoa yote ungeni hapo ni saa yenu ya ukombozi!Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates
CCM na CWT wapi unadhani watasikilizwa kwa umakini zaidi? Hii nchi wewe isikie tuu,watumishi wa halmashauri wanafukuzwa kazi hata na diwani. Siasa zimeathiri Sana utumishi....mwanasiasa Hana taaluma yoyote lakini anafanya maamuzi yanayohusu taaluma ya mtu. So pathetic 😭Huko mikoani hawana pakwenda pa kupata msaada.
Sio wajinga mkuu, strategically wamefanya uamuzi mzuri maana wangeenda direct kwa wahusika wangetimuliwa na kupewa blahblah nyingi,kupitia ccm swala lao litasikilizwa chap na haraka. CCM italichukulia kama milestone kisiasa na itafanya jambo.Ndio ushangae watu tunaowaachia wawafundishe watoto wetu ndio wanaoongoza kwa ujinga
Huku ni nipe nikupe, yaani tupandishe vyeo ama vipi tunarudisha kadi za CCM, ni mwendo wa umafia tu na hii ndiyo njia ya kuihenyesha serikali na chama dhaifu.Sasa ofisi ya ccm inahusikaje?
Anatajwa mwenyekiti wa chama Mkoa.Huo wimbo gani wanaimba?
Ndugu ukiumizwa chochote kinachoweza kukusaidia kitumie. Walimu sio wajinga hivyo ktk nyakati hizi ambazo siasa imekuwa kila kitu! Watendaji wote unaowajua wewe wa serikali wamewakwamisha hawa walimu kupata haki yao. Why CHAMA kisitumike kuwasemea ili hali watendaji wanahofu kauli za wanasiasa? Wasingefanya hivi unadhani hao simbachawene angekuja na jibu hili?Sasa ofisi ya ccm inahusikaje?
Ungekuwa wewe ungefanyaje kuipata haki yako?Hii kada imejaza watu wasiojitambua!
Kwani aliyekwamisha haki yao ni nani?Kwann hawakuelekea kwa DEO wakaamua kwenda ccm? Ccm na madaraja ya walimu wapi na wapi?
Sasa hujaelewa kuwa wasipokuwa promoted next month kurudisha kadi itakuwa habari kuu!? Maisha ni akili, kila mtu anazake.Wameniamsha.
Eti wamerudisha Kadi [emoji44][emoji102], ?
'ah' kumbe ya mpwayungugu.
Rudisha Kadi, sio kwenda kuandamana tu, by ze way kurudisha kadi ni kuandamana-its a form of Protest.
chagua kwa umakini na uangalfu 2025.
Heko Walimu [emoji1666] wa Mpwayugungu
Hakimu atapigiwa simu tu....hii njia ndio sahihi kwa wakati huu. Huku halmashauri mambo ni vululuvululu. Chongolo atakuwepo next wiki, naye anapewa kauli ya simbachawene kuwa walimu tumeipokea na tunaisubiri. Nje ya hapo tutaelewa CHAMA na watendaji halmashauri lao moja so next step itakuwa KURUDISHA KADI KWA MAANDAMANO TENA.NILIDHANI wameenda MAHAKAMANI
Mpwayungu Village mwenye shirt la blue
Hii nchi ni ya kijinga sijapata kuona. Tangu lini kupanda madaraja kukahitaji uhakiki? Huyu jamaa anachekesha kweli 😀 😀 😀 😀Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo.
View attachment 2766682
#AzamTVUpdates