KATAVI: Walimu Zaidi ya 200 Waandamana ofisi za CCM kudai Haki yao ya kupandishwa madaraja

Natokana na baba ambaye ni mwalimu lakini na yeye anawashangaa wenzake hawa wa kizazi hiki! Nachelea kusema ni majinga mno! Sasa huko cccm ndo Kuna nondo au cement za kujengea hayo madaraja🥺🥺 upuuzi mtupu!
 

Wameajiriwa na ccm au serikali?
 
Kwa ujinga kama huu na mwingine mwingi ndo maana wenye akili wanataka katiba mpya.Hao walimu wamefanya makusudi kuonyesha serikali ya ccm kua mmeshindwa.ila tatzo litakalijitokeza ni kwamba ccm nao watawatumia kupigia propaganda zakisiasa mwisho wa siku tatizo la msingi litabaki vile vile.Ila huo ni ujira wenu walimu kwasababu mnalipwa kinachostahili baada yakumtumikia kafiri kipindi cha uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…