Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

Mwanaume ukifanyiwa hivi? heee!! uwe makini sana!! hasa Bongo!! kuna baadhi ya wamiliki wa Guest za siku hizi (hasa Darisalama!! ) ni wafiraji wakubwa hasa Manispaa ya Temeke! na Kinondoni!! ni Miradi ya watu!! utafirwa wewe mpaka ulie pooo!!

halafu unapewa kadose ka madawa ya kulevya!! utalala hapo hata siku tatu! kadiri unavo kaa unapunguziwa bei!! siku ukifika pande hizi fanya ivi wakiwakomalia saana!! waambieni hivi tuta lala wote!! lkn tutaacha milango, na taa! wazi! tena ivi pia mnalala kwa zamu ili kulinda mali zenu!

wanaume wanawindwa sana kwa sababu wengi ni Mabikra kitu intact hakijaguswa!! hasa wa Mikoani! wanapendwa sana! na mara nyingi hawajuagi chochote!! akipigwa spray ya cocain anaona ni guest classic huduma kwa wateja! tena wanapewa kujipiga wenyewe wakidhania ni perfume za kawaida!!

km ukilala pekee chakula utapew bei poaa!! na wakisha kupakua, nyaa inapigwa EX pel faster!! kitu kinakuwa km kawaida tu!! ila utasikia kamuwasho kwa mbaali!! utaenda kuharisha kidogo lkn salama! utasema tu labda chips ulizo kula jana!! kadri unavolala hapo!! unalalishwa! wao wanarecord mikanda tu!!

zIle picha ni Biashara tamu sana, tena yenye kipato mwanana Ulaya, China Taiwani nk! Faster! siku ikitokea bahati ukaenda kusoma,huko au Biashara!! yaaani utashangaa wewe ulivo maarufu!

wewe!! Air port utaona tu!! unalakiwa kwa mashamu shamu! usijue nini maana yake! kila kitu bureee! mara ivi mara vile ilimaradi tu wanakujua!

ndo maana siku hizi huko walitoa viza!! kwa mtanzania na nchi nyingine za kiafrica !!! lengo mojawapo lingine ni hilo! watanzania wengi hamjui kwa nini visa ziliondolewa kwa baadhi ya nchi!! hivi ulisha wahi jiuliza ki guest bubu! kiko chocho lkn safiii! kinapiaga ndefu miaka nenda miaka rudi?

Tangu ukiwa shule mpaka leo kanastawi tu!! na mmiliki ana piga ndefu mara anunue mafuso, mara afungue biashara !! na ukishaonjwa tu baaasi weye ni kwishne!! umesha pigwa chapa! sasa endeleeni kuwaendekeza wamiliki wa hayo makitu!

Jiulize tu km mtu mwenye akili timamu kwa nini ni ME tyuuuuu!! why!! ...Ok! km mashuka wamenyea kwa nini usiwapeleke polisi bana??! au lazimisha wayafue! au wanunue mapya! si kuna ukaguzi kabla na baada ya kukabidhi chumba bana?

siku hizi kuna surveylance Camera kwa nini wasiwekewe kwa watu wanao tia shaka/ mashaka? km hao? me mnaliwa nyaa zenu sana km mie muongo fungeni alarm viunoni mwenu wote wkt wa kulala!! au muwe na camera za siri wallahi mtashangaa maono!
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta
 
Sehemu nyingi wanasema hawaruhusu watu wa jinsia moja na sio wanaume. Wewe bila shaka utakuwa na lako jambo.
 
watu mmezidi tu akili chafu, m sioni tatizo la wanaume kulala kitanda kimoja wengine wanatafuta maisha wanapanga chumba kimoja godoro moja tena ukute lipo chini hata uwezo wa kununua kitanda hawana, wengine wanafunzi chuo hvyo hvyo wanashea chumba kimoja godoro moja na hakuna tatizo lolote. Hayo mambo ya kufukuana ni matatizo ya watu binafsi wanaopenda mambo hayo hizo sheria za kiboya wala hazimake sense. Lkn kuna wale wanalalaga bila nguo nao siwaelewagi aisee
 
watu mmezidi tu akili chafu, m sioni tatizo la wanaume kulala kitanda kimoja wengine wanatafuta maisha wanapanga chumba kimoja godoro moja tena ukute lipo chini hata uwezo wa kununua kitanda hawana, wengine wanafunzi chuo hvyo hvyo wanashea chumba kimoja godoro moja na hakuna tatizo lolote. Hayo mambo ya kufukuana ni matatizo ya watu binafsi wanaopenda mambo hayo hizo sheria za kiboya wala hazimake sense. Lkn kuna wale wanalalaga bila nguo nao siwaelewagi aisee
hahahaaaaa, boarding kuna jamaa lilikuwa linalala bila nguo kabisa afu walikuwa wanashea vitanda sababu ya wingi wa wanafunzi,

alikua anaongea sana kisukuma alizidiwa na ushamba mwingi wa kisukuma, maana alikuwa msukuma og.
 
Nadhani nikwasababu za kibiashara tu.kwasababu kama ni ushoga bado wanaweza wakachukua vyumba tofauti na mmoja akamfwata mwingine.
 
SI UMEONA BALAA LA WALE WANAFUNZI WA CHUO FULANI,WAMECHUKUA ROOM
ILI WAMENGENYUANE

OVA
 
Back
Top Bottom