Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Mkuu kuna wanafunzi wa shule za bweni pia. Hzo siku zote wanakuwa shuleni tu.Kupumzika kuwe na kiasi. Unafahamu kuwa mtoto akisoma siku 180 kwa mwaka maana yake anasoma nusu mwaka na nusu mwaka anapumzika? Uliona wapi mtu anapumzika nusu mwaka!!?
Ni siki zisizozidi 80 na hazipungui 60 tu ndo wanakuwa nyumbani out of 365 kwa mwaka.
Je unadhan wanafunzi wa bweni huwa hawamiss nyumbani kwao??
Labda kama elimu inataka iwe vita.
Shule itakuwa gereza