Wazungu sio wajinga wanawajua magaidi wa ukweli na magaidi wa kubumba.Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
"Never give up". Ni naneno ya kuchochea ujasiri na uvumilivu. Poleni sana maccm.Labda huyo naibu balozi atatoa Hukumu yeye badala ya jaji Aliekuwepo vituko haviishi mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]
Duuuu!!!! Kumbe nimeanzisha vita,basi umeshinda mnamaNi sawa,lakini na mimi nikasema marehemu wengi tu wakishatangulia basi wake zao wanabaki wanabanjuliwa na wana!Na mimi ndio nikauliza hivyo!
Kwahiyo ukianzisha vita ya mawe,hakikisha hauna nyumba ya vioo!
Acha upuuzi!Duuuu!!!! Kumbe nimeanzisha vita,basi umeshinda mnama
Analeta upuuzi hapa!Umemshika kende hachomoi uyo taga[emoji1][emoji1]
Relax,maisha yaendelee!Mwaka huu mtatoa mitusi yote lakini Gaidi hachomoki
Kwani kakuchomekea. By Kikwete.Mwaka huu mtatoa mitusi yote lakini Gaidi hachomoki
Maza na kakesi kake ka kutunga.... Sijui anajisikiaje akiwasikiliza mashahidi wake wa serikali....!!Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up".
Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.
You are mentally very low, wanamchora ili wapate Nini? They are there for justice and justice only!kwani hao wajerumani ndio mahakama?
wenzake wanamchora tu awajui mabeberu!
Swali la kishamba kilaZa mkubwa wewe!Unadhani Tanzania na Mbowe Nani anatoa maslahi makubwa kwa mabeberu?!
Akili za CCM utazijua tu. Amesena usikate tamaa Katy, hiyo ndiyo hukumu? Akili zenu Kama za maiti ya chatoLabda huyo naibu balozi atatoa Hukumu yeye badala ya jaji Aliekuwepo vituko haviishi mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]
KUMBUKA ARV za jamaa zako anazilipia yeyeKwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
Thibitisha...Kwa nini Magaidi ya kiarabu uko USA wazungu hawakwenda kutoa hizo statement never give up . Huyo barozi mjinga sana. Magaidi wanaowakamata uko kwao barozi zetu au nchi nyingine walishaenda kuwaona hao Magaidi na kuwambia never give up.
Mtu mwenyewe hujawahi kutoka nje ya nchi hii kama JPM, mabeberu unawajulia wapi?Lecture za Mzee Polepole ya Mambo ya uongozi zisikupotoshe.kwani hao wajerumani ndio mahakama?
wenzake wanamchora tu awajui mabeberu!
ujerumani kimavi hamna kituNaibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up".
Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.
Ajiandae kurudi kwaoNaibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up".
Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.