Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kweli mkuu mwenyewe nilishangaa kuwaona mamba ziwani.
 
Mimi nimekuwekea source hapo wewe madai yako hayana support yoyote huo ndio huwa nauita ubishi.

Mimi nimekuwekea source hapo wewe madai yako hayana support yoyote huo ndio huwa nauita ubishi.
Nimeshindwa kuatouch ushahidi pia hapa, ila alligator kwa mamba ni mdogo sana na uaggressive pia mamba ni balaa whether you like it or not.
 
Tatizo wengi humu hao wanyama wanaishia kuwaona kwenye tv basi, mtu anamlinganisha mamba na alligator seriously??
 
Nimesema leopard sio jaguar mkuu, hata jaguar hawezi kumla mamba am sure, jaguar na simba ni kama wanalingana nguvu hivi, the quiz is mbona simba hamli mamba? Pia usichukulie poa ngozi ya mamba mkuu.
Jaguar hawezi lingana nguvu na Simba na haijawai kitokea, Lion is more powerful than Jaguar no weightclass mbili tofauti Jaguar anachomzidi Simba ni Agility, Flexibility na Aggressive but in raw strength Simba weight class ya Tiger.

Kwenye Simba kutokuweza kishambulia mamba na Jaguar kiweza ni Aggressive ya Jaguar na Agility inamsaidia Jaguar.
 
Uko Sahihi kabisa, Jaguar yuko kwenye Grupu moja na Chui japo yeye ni mkubwa kidogo lakini hawezi kumfikia Simba Jike sembuse Simba Dume.
 
😁Hiyo Story ina walakini Chatu akikuambush anakubana hata hiyo pumzi ya kumng'ata itatoka wapi?

Ni ndani ya sekunde tano unakuwa teyari umeshabanwa.
Kuna wakati anakosea timing, kuna jamaa alikamatwa mguu mmoja pamoja kisiki cha mti, alitumia mguu uliobakia na panga kumjeruhi, alimuachia.
 
Roba ya moto kweli kweli hiyo.
King Cobra ujanja wote kwisha
 
Cjasema unene n hizo data kama unavyoona, nimegoogle. Cku nyingine uckurupuke kucounter hoja, fanya tafiti kwanza
Mbona unene umeandika wewe, kiujumla tu Simba ajamzidi kitu chochote Ng'ombe kinachogusa Body Size iwe urefu, upana, unene, ujazo, uzito nk
 
CHATU halafu wa pili Simba na Mamba ni wa mwisho.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pumbavu sasa ukimuona siunaondoka ulale ili iweje
Chatu hana mbio na ukimuona jua umeokoka Chatu hatari ni yule ambae hujamuona na wewe umeungia kwa kwenye mtego wake wa ambush.hapo umekwisha hata kama una silaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…