Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Sometimes chatu anakaa juu ya mti anatega, na anaruka ni hatari piaChatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie
Unamkata hapo kichwani
Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,
Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu
Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,
kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka