Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Me nishamshuhudia mamba live, acha asee dude hilo linaogopesha.Nakumbuka kipindi tunalima nyanya kando ya ziwa 2021 hiyo, maliasili wenyewe walimshindwa halafu kulikua na case ya mvuvi kupotea ikawa inasemekana ni huyo mamba.
 
Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Hv hizi habari za ukimwangalia Simba hakufanyi kitu ni za kweli au mnataka kuponza watu maana nazisikiaga ukikutana na Simba usikimbie ww muangalie mmmh,

isije ikawa sawa na Ile ukikamatwa na police muulize kosa lako ni lipi😂😂😂😂 hii kitu imeumiza vijana weng wakichezea makofi ya kutosha mbele ya police sasa kwa Simba nafkr kinachotokea .............
 
Huyu Chatu anaweza kumeza hata Ng'ombe angalia Excavator ilyombeba Bumu lake na huyo Nyoka karibia wako sawa.
nintchdbpict000269676847.jpg

View: https://youtu.be/yFs_PabzXOc?si=n2FswcC4pzDb9vO2
 
Hv hizi habari za ukimwangalia Simba hakufanyi kitu ni za kweli au mnataka kuponza watu maana nazisikiaga ukikutana na Simba usikimbie ww muangalie mmmh,

isije ikawa sawa na Ile ukikamatwa na police muulize kosa lako ni lipi😂😂😂😂 hii kitu imeumiza vijana weng wakichezea makofi ya kutosha mbele ya police sasa kwa Simba nafkr kinachotokea .............
Huo ni ukweli, hii inamaanisha endapo utakuwa kwenye situation ya uso kwa uso na Simba au Predator yeyote better kumkazia macho na kutokugeuka nyuma confidence yake kukushambulia itapungua kuliko ukimbie hapo utakuwa kama Swala tu unajua nini kinamtokea swala
 
Back
Top Bottom