Sometimes chatu anakaa juu ya mti anatega, na anaruka ni hatari piaChatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie
Unamkata hapo kichwani
Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,
Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu
Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,
kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka
Acha uoga hapana simba hapo ulipo🤣Sijui kwanini nimefungua huu uzi usiku😥
Kihistoria, mara nyingi watu huwa wanaokoka/ kuokolewa wakiwa wanashambuliwa mamba kuliko na hao viumbe wengine.Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.
Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.
Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Binadamu ndio mnyama hatari kuliko Wanyama wote, yaan hao wote hakuna Mamba, Chatu wala Simba anaweza kukudhuru unaweza ukamnyoosha na unaweza hata kumfuga pia na kumfundisha na akatii na akakuheshimu, jibu ni kwamba wote ukiwaamulia unawanyoosha tena hata bila kutumia PangaWote hapo ni hatari hakuna nafuu
1,678.45 Kilogram bite Force. Ni kama umegongwa na garimamba ndo survival chance inakaribia 0%
ana spidi kuliko mtu, ana ngozi ngumu, panga halitomdhuru sana
ana bite force kubwa, akikung'ata mahali huchomoi
Huyu mjanja kwenye maji TU nje ya maji ni Mchumba tuogopa ukiingia kwenye mdomo wa maza…faka 🐊 hutoki , biting force yake ni one of the best
Sema ndani ya Maji nje ya Maji ni mrembo sana ndio maana hua anakimbilia Majini ukimfuata akumalize humo humo maana Maji ni km barabara yake, ngozi ya chini ya Mamba ni laini km ngozi ya kuku wa kienyeji ukimuote ukamtia Beto umemmaliza maana yeye anategemea domo tu lile1,678.45 Kilogram bite Force. Ni kama umegongwa na gari
Ipo hivyo kila mnyama na uwanja wake wa nyumbani ,ukimkuta kwenye maji , haitwi tena mamba anakua , master of ambushHuyu mjanja kwenye maji TU nje ya maji ni Mchumba tu
Ukileta nje ya Maji unamgeuza mchuzi unapiga mpaka anakimbilia kwenye MajiIpo hivyo kila mnyama na uwanja wake wa nyumbani ,ukimkuta kwenye maji , haitwi tena mamba anakua , master of ambush
Chatu ni rahisi kama hajakubana mikono. Ndo maana wanashauri ukitembea porini uwe unarusha rusha mikono kama vile wajeda wanavyomarch. Chatu timing zake ndo hizo kukuwahi kukubana mikono yote miwili.Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.
Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.
Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Hao wote wana winda. Chatu ni Habari nyingine kabisa. Tulishawahi shuhudia Mbwa anakamatwa na Chatu Pori la Kigosi (Pori la ushirombo) chatu ni nuksi mjomba.Sijawahi kukutana na Simba wala Chatu
Ila Mamba dah ni hatari
Shida ya mamba anakuwinda bila ya wewe kujua kama unawindwa
Anakuwinda akiwa ndani ya maji humuoni yeye anakuona na ana pigo la ajabu na haraka mnooo
Acha ubishi ndugu kuna Dereva Msomali alimezwa na Chatu huko Zambia alikuwa ameenda kujisaidia akapigwa Ambush ilibidi Askari wampige risasi yule Chatu nakumpasua na kumtoa yule Marehemu.Chatu kumeza mtu sio kitu rahisi … reported case ni chache almost zero kwa Tanzania , ogopa ukiingia kwenye mdomo wa maza…faka 🐊 hutoki , biting force yake ni one of the best , Simba sio rahisi kum-attack binadamu ila ikitokea umekwisha…
Umewahi kukutana nao lakini.?Chatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie
Unamkata hapo kichwani
Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,
Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu
Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,
kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka
Wee kaka wewe🙄machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu
sasa si tunabishana tu?😅Umewahi kukutana nao lakini.?
Mimi naogopa hata kubishana ngoja ni waache tu.🤐sasa si tunabishana tu?😅