Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

Ningekuwa moderator ningekulamba BAN la masaa manne ujifunze kuheshimu wananchi. Yanga ndiyo timu bora kabisa Tanzania. Simba mdebwedo
 
kikawaida zawadi kama ile hutolewa kwa mtu binafsi, na sio kwa ofisi,...
ofisi mara nyingi hupewa tuzo ,kombe au cheti kama lengo ni kuishukuru taasisi husika!

sijawahi kuona mahali popote zawadi anayopewa raisi wa nchi ya jezi ikiwa na jina tofauti na lile la Raisi,...... sijawahi hii ya yanga ndio mara ya kwanza!
 

Haji Manara aliposema wana Yanga SC wote hawana Akili mlidhani alibahatisha na alikosea?
 
Kuna ubaya gani Yanga ikiwa ya kwanza?
 
Ile jezi yeje jina lake akitika pale inaenda kuwa dekio nyumbani kwake na kama kuna anaebisha aje alete hapa picha ikimuonyesha Balozi kavaa hilo tambala jekundu na jeupe la Waganga.
 
Umewahi kufanya kazi na hawa watu weupe? Kuna kukabidhiana kabla ya kuondoka na wanakabidhi kila kitu kwa kutoa maelezo, tuombe Mungu moyoni awe anashabikia Yanga hiyo jezi itathaminiwa lakini Kama ni Simba huyu ajaye ataiweka kwenye dustbin mfagiaji atajua aipeleke wapi.
 
Ile jezi yeje jina lake akitika pale inaenda kuwa dekio nyumbani kwake na kama kuna anaebisha aje alete hapa picha ikimuonyesha Balozi kavaa hilo tambala jekundu na jeupe la Waganga.
Ahahahahaaa mawazo dumavu hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…