Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.

Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina ( Cheo cha Balozi ) kwa nyuma.

Ni Akili ya Kawaida tu ukitaka Kumheshimisha Mtu yoyote ( na hii ni psychologically proved ) ni kwamba ukilitaja Jina lake au Kuliandika anafurahi zaidi.

Sasa unampa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza nchini Tanzania yenye Cheo chake cha BALOZI umeambiwa Balozi David Concar atakuwa Balozi wa Uingereza hapa nchini Tanzania Milele? Je, akija Balozi mpya bado Klabu yenu itakuwa imemheshimisha Balozi huyu wa sasa Bw. David Concar aliyewatembeleeni tu kwa bahati mbaya na kutoa Lawama kuwa ana Upendeleo kwani ukweli ni kwamba Klabu iliyokuwa ipo katika Schedule yake ya kuitembelea ni ya Simba SC iliyo ya 7 kwa Ubora Afrika, iliyotoka Kushiriki Michuano mikubwa Barani Afrika ( ya AFL ) na siyo ile ya 18 kwa Ubora Afrika na iliyokosa kuingia Makundi ya CAFCL kwa miaka 25 ( tokea mwaka 1998 )

Kidogo mngeandika Balozi Concar ningewaona mna Akili ila kwa Kuandika tu Cheo cha BALOZI katika Jezi ni kuonyesha kuwa hampo vizuri kwa Mambo makubwa makubwa, ya Kimataifa na yanayohitaji Akili Kubwa na Exposure ili kuweza Kuyakabili.

Hongereni sana Viongozi wa Chama langu Simba SC kwa kuonyesha Utaalam, Ubobezi na Uweledi katika Mambo ya Kimataifa ( Diplomasia ikiwemo ) na GENTAMYCINE sikushangaa nilipoona mkimkabidhi Zawadi ya Jezi Mheshimiwa Balozi yenye Jina lake Mgongoni la David Concar ALIFURAHI mno na kule Kwingineko walipomzawadia Jezi yao ( Dawa ya Mbu ) yenye Cheo chake cha BALOZI kwa nyuma aliipokea huku akiwa AMENUNA huku Mshamba Mmoja aliyekuwa pembeni yake akiwa anacheka akidhani yuko Kwao Hergeisa na Mogadishu.
Ningekuwa moderator ningekulamba BAN la masaa manne ujifunze kuheshimu wananchi. Yanga ndiyo timu bora kabisa Tanzania. Simba mdebwedo
 
Ni kama Simba wamemlenga mtu mmoja kwa wakati atakakuwepo, na pengine jezi kaishapeleka nyumbani kwake kwasababu ni mali yake.
Ila ni kama Yanga wamelenga kuifanya kundi kubwa la watu ijue. Jezi italazimika kukaa ofisini, wageni wakija ni lazima watahitaji kujua kuhusu hiyo jezi iliyotundikwa ukutani, pia akija balozi mpya lazima atataka kujua kuhusu hiyo jezi kutoka kwa mtangulizi wake. Kwa kumbukumbu kwa mlengwa huenda Simba wamewin ila kwa kuitangaza timu Yanga wamewin
kikawaida zawadi kama ile hutolewa kwa mtu binafsi, na sio kwa ofisi,...
ofisi mara nyingi hupewa tuzo ,kombe au cheti kama lengo ni kuishukuru taasisi husika!

sijawahi kuona mahali popote zawadi anayopewa raisi wa nchi ya jezi ikiwa na jina tofauti na lile la Raisi,...... sijawahi hii ya yanga ndio mara ya kwanza!
 
Haji Manara aliposema wana Yanga SC wote hawana Akili mlidhani alibahatisha na alikosea?
 
kikawaida zawadi kama ile hutolewa kwa mtu binafsi, na sio kwa ofisi,...
ofisi mara nyingi hupewa tuzo ,kombe au cheti kama lengo ni kuishukuru taasisi husika!

sijawahi kuona mahali popote zawadi anayopewa raisi wa nchi ya jezi ikiwa na jina tofauti na lile la Raisi,...... sijawahi hii ya yanga ndio mara ya kwanza!
Kuna ubaya gani Yanga ikiwa ya kwanza?
 
Ni kama Simba wamemlenga mtu mmoja kwa wakati atakakuwepo, na pengine jezi kaishapeleka nyumbani kwake kwasababu ni mali yake.
Ila ni kama Yanga wamelenga kuifanya kundi kubwa la watu ijue. Jezi italazimika kukaa ofisini, wageni wakija ni lazima watahitaji kujua kuhusu hiyo jezi iliyotundikwa ukutani, pia akija balozi mpya lazima atataka kujua kuhusu hiyo jezi kutoka kwa mtangulizi wake. Kwa kumbukumbu kwa mlengwa huenda Simba wamewin ila kwa kuitangaza timu Yanga wamewin
Ile jezi yeje jina lake akitika pale inaenda kuwa dekio nyumbani kwake na kama kuna anaebisha aje alete hapa picha ikimuonyesha Balozi kavaa hilo tambala jekundu na jeupe la Waganga.
 
Umewahi kufanya kazi na hawa watu weupe? Kuna kukabidhiana kabla ya kuondoka na wanakabidhi kila kitu kwa kutoa maelezo, tuombe Mungu moyoni awe anashabikia Yanga hiyo jezi itathaminiwa lakini Kama ni Simba huyu ajaye ataiweka kwenye dustbin mfagiaji atajua aipeleke wapi.
 
Ile jezi yeje jina lake akitika pale inaenda kuwa dekio nyumbani kwake na kama kuna anaebisha aje alete hapa picha ikimuonyesha Balozi kavaa hilo tambala jekundu na jeupe la Waganga.
Ahahahahaaa mawazo dumavu hayo
 
Back
Top Bottom