Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Tena hata chanel hazisomi kabisa.View attachment 2799719dish limecheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hata chanel hazisomi kabisa.View attachment 2799719dish limecheza
Hivi kule mkoani "Musoma" kuna bangi?Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.
Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina ( Cheo cha Balozi ) kwa nyuma.
Ni Akili ya Kawaida tu ukitaka Kumheshimisha Mtu yoyote ( na hii ni psychologically proved ) ni kwamba ukilitaja Jina lake au Kuliandika anafurahi zaidi.
Sasa unampa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza nchini Tanzania yenye Cheo chake cha BALOZI umeambiwa Balozi David Concar atakuwa Balozi wa Uingereza hapa nchini Tanzania Milele? Je, akija Balozi mpya bado Klabu yenu itakuwa imemheshimisha Balozi huyu wa sasa Bw. David Concar aliyewatembeleeni tu kwa bahati mbaya na kutoa Lawama kuwa ana Upendeleo kwani ukweli ni kwamba Klabu iliyokuwa ipo katika Schedule yake ya kuitembelea ni ya Simba SC iliyo ya 7 kwa Ubora Afrika, iliyotoka Kushiriki Michuano mikubwa Barani Afrika ( ya AFL ) na siyo ile ya 18 kwa Ubora Afrika na iliyokosa kuingia Makundi ya CAFCL kwa miaka 25 ( tokea mwaka 1998 )
Kidogo mngeandika Balozi Concar ningewaona mna Akili ila kwa Kuandika tu Cheo cha BALOZI katika Jezi ni kuonyesha kuwa hampo vizuri kwa Mambo makubwa makubwa, ya Kimataifa na yanayohitaji Akili Kubwa na Exposure ili kuweza Kuyakabili.
Hongereni sana Viongozi wa Chama langu Simba SC kwa kuonyesha Utaalam, Ubobezi na Uweledi katika Mambo ya Kimataifa ( Diplomasia ikiwemo ) na GENTAMYCINE sikushangaa nilipoona mkimkabidhi Zawadi ya Jezi Mheshimiwa Balozi yenye Jina lake Mgongoni la David Concar ALIFURAHI mno na kule Kwingineko walipomzawadia Jezi yao ( Dawa ya Mbu ) yenye Cheo chake cha BALOZI kwa nyuma aliipokea huku akiwa AMENUNA huku Mshamba Mmoja aliyekuwa pembeni yake akiwa anacheka akidhani yuko Kwao Hergeisa na Mogadishu.
Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.
Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina ( Cheo cha Balozi ) kwa nyuma.
Ni Akili ya Kawaida tu ukitaka Kumheshimisha Mtu yoyote ( na hii ni psychologically proved ) ni kwamba ukilitaja Jina lake au Kuliandika anafurahi zaidi.
Sasa unampa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza nchini Tanzania yenye Cheo chake cha BALOZI umeambiwa Balozi David Concar atakuwa Balozi wa Uingereza hapa nchini Tanzania Milele? Je, akija Balozi mpya bado Klabu yenu itakuwa imemheshimisha Balozi huyu wa sasa Bw. David Concar aliyewatembeleeni tu kwa bahati mbaya na kutoa Lawama kuwa ana Upendeleo kwani ukweli ni kwamba Klabu iliyokuwa ipo katika Schedule yake ya kuitembelea ni ya Simba SC iliyo ya 7 kwa Ubora Afrika, iliyotoka Kushiriki Michuano mikubwa Barani Afrika ( ya AFL ) na siyo ile ya 18 kwa Ubora Afrika na iliyokosa kuingia Makundi ya CAFCL kwa miaka 25 ( tokea mwaka 1998 )
Kidogo mngeandika Balozi Concar ningewaona mna Akili ila kwa Kuandika tu Cheo cha BALOZI katika Jezi ni kuonyesha kuwa hampo vizuri kwa Mambo makubwa makubwa, ya Kimataifa na yanayohitaji Akili Kubwa na Exposure ili kuweza Kuyakabili.
Hongereni sana Viongozi wa Chama langu Simba SC kwa kuonyesha Utaalam, Ubobezi na Uweledi katika Mambo ya Kimataifa ( Diplomasia ikiwemo ) na GENTAMYCINE sikushangaa nilipoona mkimkabidhi Zawadi ya Jezi Mheshimiwa Balozi yenye Jina lake Mgongoni la David Concar ALIFURAHI mno na kule Kwingineko walipomzawadia Jezi yao ( Dawa ya Mbu ) yenye Cheo chake cha BALOZI kwa nyuma aliipokea huku akiwa AMENUNA huku Mshamba Mmoja aliyekuwa pembeni yake akiwa anacheka akidhani yuko Kwao Hergeisa na Mogadishu.
Hivi kuna link ya kupigia kura?Kwenye klabu bora ya mwaka simba umeiona hapo??View attachment 2799978

Kwani ile michango yetu ambayo ilianza baada ya babra kuzuiwa kuingia uwanjani iliishia wapi mpaka tumtegemee balozi?Kwa ujio huu wa Balozi Naiona simba inaenda kupata fungu zito la kumalizia uwanja wa Mo simba Arena.. ni muda tu
Kati yako na yeye nani mwenye poor thinking?What a poor thinking.....!!
Yote ni sawa tu.Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.
Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina ( Cheo cha Balozi ) kwa nyuma.
Ni Akili ya Kawaida tu ukitaka Kumheshimisha Mtu yoyote ( na hii ni psychologically proved ) ni kwamba ukilitaja Jina lake au Kuliandika anafurahi zaidi.
Sasa unampa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza nchini Tanzania yenye Cheo chake cha BALOZI umeambiwa Balozi David Concar atakuwa Balozi wa Uingereza hapa nchini Tanzania Milele? Je, akija Balozi mpya bado Klabu yenu itakuwa imemheshimisha Balozi huyu wa sasa Bw. David Concar aliyewatembeleeni tu kwa bahati mbaya na kutoa Lawama kuwa ana Upendeleo kwani ukweli ni kwamba Klabu iliyokuwa ipo katika Schedule yake ya kuitembelea ni ya Simba SC iliyo ya 7 kwa Ubora Afrika, iliyotoka Kushiriki Michuano mikubwa Barani Afrika ( ya AFL ) na siyo ile ya 18 kwa Ubora Afrika na iliyokosa kuingia Makundi ya CAFCL kwa miaka 25 ( tokea mwaka 1998 )
Kidogo mngeandika Balozi Concar ningewaona mna Akili ila kwa Kuandika tu Cheo cha BALOZI katika Jezi ni kuonyesha kuwa hampo vizuri kwa Mambo makubwa makubwa, ya Kimataifa na yanayohitaji Akili Kubwa na Exposure ili kuweza Kuyakabili.
Hongereni sana Viongozi wa Chama langu Simba SC kwa kuonyesha Utaalam, Ubobezi na Uweledi katika Mambo ya Kimataifa ( Diplomasia ikiwemo ) na GENTAMYCINE sikushangaa nilipoona mkimkabidhi Zawadi ya Jezi Mheshimiwa Balozi yenye Jina lake Mgongoni la David Concar ALIFURAHI mno na kule Kwingineko walipomzawadia Jezi yao ( Dawa ya Mbu ) yenye Cheo chake cha BALOZI kwa nyuma aliipokea huku akiwa AMENUNA huku Mshamba Mmoja aliyekuwa pembeni yake akiwa anacheka akidhani yuko Kwao Hergeisa na Mogadishu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]Kimbembe pale balozi alipoomba aone na kushika makombe, kati ya hizi timu mbili Kuna moja kiliumana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yote ni sawa tu.
Wacha unazi wa kijinga.
January Makamba na mama Samia Suluhu wapewe mauwa yao kwa hii diplomasia.
Binafsi Waingereza siwaamini kwa unafiki wao.
Lazima tujiulize, kuna kheri au shari nyuma ya pazia mpaka leo Waingereza wafanye hivyo?
Ume anza udini wako wewe mzeeYote ni sawa tu.
Wacha unazi wa kijinga.
January Makamba na mama Samia Suluhu wapewe mauwa yao kwa hii diplomasia.
Binafsi Waingereza siwaamini kwa unafiki wao.
Lazima tujiulize, kuna kheri au shari nyuma ya pazia mpaka leo Waingereza wafanye hivyo?
Ilibaki kidogo tu si alilazwa huyuGenta saa zingine akili yako hua inaamia tumboni au ma.kalioni? Mbona hua unakuja na threads za kipumbavu sana we mzee? Hao askari huko kawe afadhari wangekuua tuu mana hujielewi.