Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

Kwa maendeleo ya michezo nchini, je kuna chochote Balozi kahaidi kwa vilabu hivyo vikongwe mathalani mabadilishano ya wachezaji yosso au mafunzo kwenye shule za mpira?
 
Hivi kule mkoani "Musoma" kuna bangi?
 
Kwa upande wangu yanga wamewin sana,ebu fikiria msimu unapoisha jezi mpya utengenezwa,je huyo Balozi ataendelea kuvaa jezi za msimu uliopita??
Picha utundikwa ukutani,ndo maana ukiingia ofisi mbalimbali hapa Tanzania utakuta picha za maraisi wastaafu,hiyo yote ni kuonyesha heshima kwao.
Kwa walichokifanya yanga ni kikubwa zaidi ya simba,jezi imetengenezewa fremu vinzuri na ikitundikwa ofisini kila atakayeingia ataitazama na kujiuliza huyu ni nani??
Ile jezi itaendelea kudumu ofisini.
Hiyo ya simba ataivaa mwisho wa siku ataichoka,je kama apendi rangi nyekundu??
Tumeona viongozi wote waliopewa jezi za timu huwa hawazivaagi.

Big up uongozi wa yanga umeonyesha akili sana.
 
 
Kwa ujio huu wa Balozi Naiona simba inaenda kupata fungu zito la kumalizia uwanja wa Mo simba Arena.. ni muda tu
Kwani ile michango yetu ambayo ilianza baada ya babra kuzuiwa kuingia uwanjani iliishia wapi mpaka tumtegemee balozi?
 
Kimbembe pale balozi alipoomba aone na kushika makombe, kati ya hizi timu mbili Kuna moja kiliumana!
 
Yote ni sawa tu.

Wacha unazi wa kijinga.

January Makamba na mama Samia Suluhu wapewe mauwa yao kwa hii diplomasia.

Binafsi Waingereza siwaamini kwa unafiki wao.

Lazima tujiulize, kuna kheri au shari nyuma ya pazia mpaka leo Waingereza wafanye hivyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ume anza udini wako wewe mzee
 
Genta saa zingine akili yako hua inaamia tumboni au ma.kalioni? Mbona hua unakuja na threads za kipumbavu sana we mzee? Hao askari huko kawe afadhari wangekuua tuu mana hujielewi.
 
Nasikia bado upo hospitali tangu mjeda akupe mitama
 
Genta saa zingine akili yako hua inaamia tumboni au ma.kalioni? Mbona hua unakuja na threads za kipumbavu sana we mzee? Hao askari huko kawe afadhari wangekuua tuu mana hujielewi.
Ilibaki kidogo tu si alilazwa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…