Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

kama unajua makosa haya , sasa acha kulaumu watu wa nje wakatu sisi wenyew hatupendan , hata tungekwepo wenyew dunian tungegombana sana bora sasa hv wapo wanahofia uwepo wa hayo mataifa makubwa dunian
 
Wabantu tunashobo.wabara moja hatuwajali HOW?
 
kama unajua makosa haya , sasa acha kulaumu watu wa nje wakatu sisi wenyew hatupendan , hata tungekwepo wenyew dunian tungegombana sana bora sasa hv wapo wanahofia uwepo wa hayo mataifa makubwa dunian
Unafikir bila ufadhir wa mataifa makubwa kwa vikundi vya waasi Africa Hii migogoro ingedumu?
 
Kimbakilo haujaacha matusi pimbi wewe
 
Kwamba civil war na mpaka Sudan kugawanyika marekani hakuhusika siyo!?..we ni pwagu
kama sudan kaskazin wangefikisha huduma sawa huko Sudan kusin , sidhan kama wangedai kujitenga , mnapenda hoja za kutunga sana , Juba mji mkuu wa Sudan Kusin hapafikii hata Moshi mjini , hiyo sehem ilitelekezwa kabisa na kibaya wakatuma na janjaweed ili wawamalize hao wamasai wetu wa Sudan kusin , sasa sijui kama ww ungesubir USA akushawish kujitenga kana kwamba sudan kusin hawakuwa na malalamiko yao tang miaka ya 1980s
 
Ndiyo maana nilisema wewe mpumbavu ambaye hata kukujibu najishushia heshima
 

Unafaidika nini na uwongo?.
 
Hata Tanzania napo kulikuwa na maeneo yapo nyuma sana kuliko Dar es salaam,sasa hivi yamebadilika sana.Barabara nzuri na maji yanatiriika majumbani.Ilihitaji muda na mipango iliyopangwa kutekelezwa hapo baadae. Maeneo kam hayo ndiyo Marekani na Ulaya waliyoyachochea kwa kutumia rangi na dini kwamba wao walikuwa hivyo kutokana na rangi zao na dini tofauti.Walipitisha maazimio ya kinafiki umoja wa mataifa na kutuma vikundi vya NGO za uchochezi mpaka ikawa ni uhasama kati ya wananchi hao.
Wangekuwa ni watu wazuri wangepeleka misaada kwa serikali ili ibadili hali kwa kile walichoona ni upungufu huko Sudan Kusini.Badala yake walifanya vitendo vya kichochezi vya wazi wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…