Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na anayedai haki nani ni Gaidi ?

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi?

Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa sababu Mungu anaweza kuzichoka tabia zenu na kuwaangusha.
 
Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
 
......Alikuwa anaongea bila kuwaangalia watu usoni.

Kuna maneno ukiongea dhamiri/ile sauti ya ndani inakusuta sana maana inajua unasema uwongo na mbaya zaidi dhamiri inajua kuwa wewe unayewanyooshea vidole na kuwapa tuhuma wengine ndiye mbaya.
 
Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
Ona ulivyojaa ushetani.

Kwako wewe unaona watu mia 5 ni kidogo eti?

Kwa wenzetu waliostarabika hata kifo cha mtu mmoja wahusika wanapaswa kuwajibishwa/kuwajibika.

Ila kwa sababu nyie mna roho za manyani na matendo yenu ni ya kinyani nyani tu hamuoni thamani ya uhai hata wa mtu mmoja.

Roho mia 5 unaona kidogo?
 
Kama ingekuwa makusudi basi tungeisha , punguzeni ujinga .
 
Magaidi ya Samuya haya hapa.
20251104_030225.jpg
 
Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
Wewe nimkatilisana naunafaa kuchukiwa yani unaongelea vifo vya watu kama kituchakawaida, unaposema 500 una justify nini.

Hata kama wangekufa wawili ama mmoja thamani ya uhai wa mtu hailinganishwi na kitu chochote chamsingi ni kutafuta suluhu ya kukomesha mauwaji yasitokee tena.
 
kwani kufa kuna tatizo gani ? watu kila siku wanakufa ...Mjinga unashindwa kuelewa madhara ya vurugu , hapo mtajifunza siku nyingine
 
Back
Top Bottom