Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na anayedai haki nani ni Gaidi ?

Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na anayedai haki nani ni Gaidi ?

Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
Hao mia Tano ni Watu pia ,hata mmoja hastahili kuuwawa!
 
Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi?

Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa sababu Mungu anaweza kuzichoka tabia zenu na kuwaangusha.
CCM ni mashetani wakubwa sana sana, sasa hivi nchi kila mahali inaliwa hadi unaogopa, angalia barabara ya Pale majumba sita kuja kinyerezi jinsi Malori ya mchanga yanavyoharibu barabara, inaumiza hadi basi
 
Hili toleo la binadam gani sijui,hajui anachokisema ni kipi ili mradi maneno yanamtoka mdomoni.
 
Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
Kwan ni lazima wakubali walikua watu mia tano?
 
Hivi hawa watu ilishindikana kabisa kutambulika na kujulikana waziwazi watanzania wawajue.
Walijulikana mbona sasa tatizo linakuja walichokifanya kina baraka zote za muuaji aliyesema nguvu iliyotumika ilikua sawa na tukio unajiuliza je waliouwawa nao walikua na mabunduki kama za hao vibaka ?
 
Hatutakoma mpaka Tanzania 🇹🇿 bora kwa kila ntu ipatikane na soon inapatikana kwa sababu wahuni wamekataliwa na kila Mtanzania isipokuwa nyie machawaNk.
Mbona hakumtoka juzi 😅😅😅hatutaki vurugu kama wanaume kweli sio mashoga ,nendeni ikulu sio kufanyia vurugu wananchi wenzenu ,wasiokuwa na hatia ..Unachoma biashara ya mlala hoi ,huku Samia anakula maisha.

Pigo za kike wajinga nyie .!
 
Back
Top Bottom