passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Hiyo ni idadi ya Tanzania nzima na serikali haiwezi kukuambia idadi ya kweli.Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
Maovu yanamwisho wake......Alikuwa anaongea bila kuwaangalia watu usoni.
Kuna maneno ukiongea dhamiri/ile sauti ya ndani inakusuta sana maana inajua unasema uwongo na mbaya zaidi dhamiri inajua kuwa wewe unayewanyooshea vidole na kuwapa tuhuma wengine ndiye mbaya.
Ona ulivyojaa ushetani.Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
Kma kuna mtu alishika bunduki na kuwaua ni sawaHiyo ni idadi ya Tanzania nzima na serikali haiwezi kukuambia idadi ya kweli.
Kama ingekuwa makusudi basi tungeisha , punguzeni ujinga .Ona ulivyojaa ushetani.
Kwako wewe unaona watu mia 5 ni kidogo eti?
Kwa wenzetu waliostarabika hata kifo cha mtu mmoja wahusika wanapaswa kuwajibishwa/kuwajibika.
Ila kwa sababu nyie mna roho za manyani na matendo yenu ni ya kinyani nyani tu hamuoni thamani ya uhai hata wa mtu mmoja.
Roho mia 5 unaona kidogo?
Hivi mtu mwenye akili timamu unawezaje kufanya hili walichofanya?Magaidi ya Samuya haya hapa.
View attachment 3626382
Or people who want to get power in evil ways?Ukweli ni kuwa power ndo source of all evil
Wewe nimkatilisana naunafaa kuchukiwa yani unaongelea vifo vya watu kama kituchakawaida, unaposema 500 una justify nini.Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
ila unaamini Samia alipata kura 31m.Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
kwani kufa kuna tatizo gani ? watu kila siku wanakufa ...Mjinga unashindwa kuelewa madhara ya vurugu , hapo mtajifunza siku nyingineWewe nimkatilisana naunafaa kuchukiwa yani unaongelea vifo vya watu kama kituchakawaida, unaposema 500 una justify nini.
Hata kama wangekufa wawili ama mmoja thamani ya uhai wa mtu hailinganishwi na kitu chochote chamsingi ni kutafuta suluhu ya kukomesha mauwaji yasitokee tena.
Ndioila unaamini Samia alipata kura 31m.