Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Hao mia Tano ni Watu pia ,hata mmoja hastahili kuuwawa!Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
CCM ni mashetani wakubwa sana sana, sasa hivi nchi kila mahali inaliwa hadi unaogopa, angalia barabara ya Pale majumba sita kuja kinyerezi jinsi Malori ya mchanga yanavyoharibu barabara, inaumiza hadi basiKati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi?
Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa sababu Mungu anaweza kuzichoka tabia zenu na kuwaangusha.
Kisa ilikuwaje, kuna mazingira lazima ufe tena utapewa kipigoHao mia Tano ni Watu pia ,hata mmoja hastahili kuuwawa!
Hao ndio magaidi halisi ambao Samuya anajifanya hawajui.Hivi mtu mwenye akili timamu unawezaje kufanya hili walichofanya?
HAKIKA nawe,utakufa!Kisa ilikuwaje, kuna mazingira lazima ufe tena utapewa kipigo
utakuwa ni bonge la mse@@nge. Yaani ni bora ungekaa kimya tu.Ndio
Siongea na hanithi la CHADEMA.utakuwa ni bonge la mse@@nge. Yaani ni bora ungekaa kimya tu.
Tulia we ๐Siongea na hanithi la CHADEMA.
Hivi hawa watu ilishindikana kabisa kutambulika na kujulikana waziwazi watanzania wawajue.Magaidi ya Samuya haya hapa.
View attachment 3626382
Kwan ni lazima wakubali walikua watu mia tano?Hakuna askari ameua watu elfu 10, watu wamekuga kama mia tano ...Askari mmoja hawezi kuua watu wote mia tano ..Ujinga wenu wa kupenda kudanganya ndiyo mnaonekana wajinga kila siku .
Walijulikana mbona sasa tatizo linakuja walichokifanya kina baraka zote za muuaji aliyesema nguvu iliyotumika ilikua sawa na tukio unajiuliza je waliouwawa nao walikua na mabunduki kama za hao vibaka ?Hivi hawa watu ilishindikana kabisa kutambulika na kujulikana waziwazi watanzania wawajue.
Shoga la Chadema kama Mkuu wenu ,wazee wa pesa za magharibiTulia we ๐
Mkileta vurugu tena mtauliwa ..Kwan ni lazima wakubali walikua watu mia tano?
Mmeona namna ambavyo watanzania hawawaogopi tena?tutaendelea kuwazomea na siku Mungu akiruhusu tutaandamana tena.Mkileta vurugu tena mtauliwa ..
Mmelaaniwa ndiyo maana watanzania wanawazomea kila sehemu hawaogopi vitisho vyenu tena siku Mungu akiruhusu tutaandamana tena.Mkileta vurugu tena mtauliwa ..
Mshambwela nyie ๐ ๐ mmebaki kuzomea ,hamna nguvu tenaMmeona namna ambavyo watanzania hawawaogopi tena?tutaendelea kuwazomea na siku Mungu akiruhusu tutaandamana tena.
mkomeMmelaaniwa ndiyo maana watanzania wanawazomea kila sehemu hawaogopi vitisho vyenu tena siku Mungu akiruhusu tutaandamana tena.
Hatutakoma mpaka Tanzania ๐น๐ฟ bora kwa kila ntu ipatikane na soon inapatikana kwa sababu wahuni wamekataliwa na kila Mtanzania isipokuwa nyie machawaNk.mkome
Mbona hakumtoka juzi ๐ ๐ ๐ hatutaki vurugu kama wanaume kweli sio mashoga ,nendeni ikulu sio kufanyia vurugu wananchi wenzenu ,wasiokuwa na hatia ..Unachoma biashara ya mlala hoi ,huku Samia anakula maisha.Hatutakoma mpaka Tanzania ๐น๐ฟ bora kwa kila ntu ipatikane na soon inapatikana kwa sababu wahuni wamekataliwa na kila Mtanzania isipokuwa nyie machawaNk.