Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Nyuma ya keyboard.Unateseka ukiwa wapi?
Huu sasa uongo.Ugali wa muhogo na kisamvu
Babu hupendi vitu vizuri weweSijawahi kula mlenda, I don't like it kutoka uvungu wa moyo, sipendi pia kisamvu.
Mwanakwetu hapo mawazo yako yameenda mbali kijana wa hovyo hovyoHuu sasa uongo.
Sasa hiyo si ni supu ya dagaa🤣🤣Dagaa chukuchuku halafu unaweka na ndimu 🏃
Hajui raha ya mlenda huyo,kwanza unazungusha tonge kama mara mbili hivi,halafu ndio unaenda kinywani hatar sanaBabu hupendi vitu vizuri wewe
Jirani 😹Siku nikila ugali nitarudi hapa kuchangia hii mada,
Tafadhali moderator msiufute huu uzi,
Evelyn Salt min -me
Bro kwanini ukale chakula cha mifugo lakiniSiku nikila ugali nitarudi hapa kuchangia hii mada,
Tafadhali moderator msiufute huu uzi,
Evelyn Salt min -me
Vingine vinipite, sipendi na sijawahi kula mlenda.Babu hupendi vitu vizuri wewe
Weeee apiaSijawahi kula mlenda
Apewe na chapati mbili huyoSasa hiyo si ni supu ya dagaa🤣🤣
Yani tonge linafanya kuteleza tu kooni!Hajui raha ya mlenda huyo,kwanza unazungusha tonge kama mara mbili hivi,halafu ndio unaenda kinywani hatar sana
Uje nikupikie hebu😅Vingine vinipite, sipendi na sijawahi kula mlenda.
Hakyanani!Weeee apia
Wanasema eti mlenda unasaidis kutelezesha, ni kweli?Uje nikupikie hebu😅
Inawezekana! Uje tujaribu🤭Wanasema eti mlenda unasaidis kutelezesha, ni kweli?