Kati ya dagaa na mlenda, Mboga gani unapendelea kula na ugali?

Umenikumbusha nilipoenda usukumani kutafuta mke, nilikula ugali wa dona na dagaa wanao elea kwenye mchuzi wenye maji mengi, kwa pembeni kuna mlenda unaovutika sana, wanauita mzubo.​
 
Ugali ni chakula Cha nguluwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…