GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #61
Inaelekea una bifu na Mpwayungu Village🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaelekea una bifu na Mpwayungu Village🤣🤣🤣
Una balaa weweInaelekea una bifu na Mpwayungu Village🤣🤣🤣
Mkuu, kweli kabisa sina balaa na sitakuwa na balaa. Pengine labda nimehisi vibaya!Una balaa wewe
Basi! Imetosha!!!Mimi nimefanya kazi mgodi wa makaa ya mawe huko kusini, unamilikiwa na wazungu wa Uingereza. Pale mgodini mwaka 2014 walileta Ford Rangers 10 na Land Cruiser 10 za field. Sikua Dereva wala mtu logistics ila mpaka naondoka pale 2010 Ford Rangers zinazotembea zilikuwa 3 zingine zote zimepaki yard mbovu, na zingine vipuri vyake ndo wanavichomoa huku wanaweka huku, Land Cruiser 1HZ zipo zipo 8 moja ilipiga chini, nyingine ilitumbukia mtoni. Nimekupa ninachikijua mkuu utaamua wewe.
cruiser kwenye maintenance ni cheap kuliko ford, interms of spare parts na mafundi ila kwenye durability ford ranger Hana mpinzani
Siyo vizuri kuilinganisha hiyo Toyota Landcruiser pick up na Ford Ranger kwa shughuli za porini! Toyota Landcruiser ni mnyama wa porini.
Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".
Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.
SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up
2. Limudu safari ndefu za mara kwa mara
3. Limudu barabara za aina zote: lami, vumbi, na hata zenye utelezi nyakati za mvua
4. Liwe na uwezo wa kubeba mizigo midogo mara kwa mara na wakati mwingine muda mrefu - kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine au mingine
5. Lililo na uwezekano wa kudumu
muda mrefu.
Lipi linakidhi hivyo vigezo kati ya FORD RANGER na LAND CRUISER?
Kuna lililo bora zaidi kuzidi hayo machaguo mawili?
View attachment 2751225View attachment 2751229View attachment 2751231View attachment 2751238View attachment 2751239
Hakuna gari ya kuifananisha na LC ....Hii vita naona Ford Ranger imeshindwa mapema sana. Vipi kuhusu Land cruiser Vs Defender 110? Wekeni neno wakuu!
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunichekiIngawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".
Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.
SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up
2. Limudu safari ndefu za mara kwa mara
3. Limudu barabara za aina zote: lami, vumbi, na hata zenye utelezi nyakati za mvua
4. Liwe na uwezo wa kubeba mizigo midogo mara kwa mara na wakati mwingine muda mrefu - kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine au mingine
5. Lililo na uwezekano wa kudumu
muda mrefu.
Lipi linakidhi hivyo vigezo kati ya FORD RANGER na LAND CRUISER?
Kuna lililo bora zaidi kuzidi hayo machaguo mawili?
View attachment 2751225View attachment 2751229View attachment 2751231View attachment 2751238View attachment 2751239
Ford itakupasua achana nayoIngawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".
Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.
SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up
2. Limudu safari ndefu za mara kwa mara
3. Limudu barabara za aina zote: lami, vumbi, na hata zenye utelezi nyakati za mvua
4. Liwe na uwezo wa kubeba mizigo midogo mara kwa mara na wakati mwingine muda mrefu - kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine au mingine
5. Lililo na uwezekano wa kudumu
muda mrefu.
Lipi linakidhi hivyo vigezo kati ya FORD RANGER na LAND CRUISER?
Kuna lililo bora zaidi kuzidi hayo machaguo mawili?
View attachment 2751225View attachment 2751229View attachment 2751231View attachment 2751238View attachment 2751239
Ungemalizia kabisa kwa kusema LC ni unyama mwingi 😂Toyota Landcruiser ni mnyama wa porini.
Bei zinashabihiaana Mkuu maana Ranger anatoa matoleo mapya kila akiamka tofauti na LC anabadili Engine tu..Hata kwa bei showroom, LC ni mkasi kuliko ford ranger
Acha uongo mkuu.. Huo ni uongooo🤣🤣Tafuta Landrover 300 tdi Engine ni pundaaaa unaeza beba mpaka nyumba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vitani, waasi, magaidi na popote panapohitaji ubabe kruza Huwa suruhisho la matatizo