Kati ya Ford Ranger Double Cabin na Land Cruiser Double Cabin, lipi ni gari bora zaidi kwa kazi za "porini"?

Mimi nimefanya kazi mgodi wa makaa ya mawe huko kusini, unamilikiwa na wazungu wa Uingereza. Pale mgodini mwaka 2014 walileta Ford Rangers 10 PX/ XRT na Land Cruiser 10 za field 1HZ engine zote pick up. Sikua Dereva wala mtu logistics ila mpaka naondoka pale 2020 Ford Rangers zinazotembea zilikuwa 3 zingine zote zimepaki yard mbovu, na zingine vipuri vyake ndo wanavichomoa huku wanaweka huku, Land Cruiser 1HZ zipo zipo 8 moja ilipiga chini, nyingine ilitumbukia mtoni. Nimekupa ninachikijua mkuu utaamua wewe.
 
Mimi nimefanya kazi mgodi wa makaa ya mawe huko kusini, unamilikiwa na wazungu wa Uingereza. Pale mgodini mwaka 2014 walileta Ford Rangers 10 na Land Cruiser 10 za field. Sikua Dereva wala mtu logistics ila mpaka naondoka pale 2010 Ford Rangers zinazotembea zilikuwa 3 zingine zote zimepaki yard mbovu, na zingine vipuri vyake ndo wanavichomoa huku wanaweka huku, Land Cruiser 1HZ zipo zipo 8 moja ilipiga chini, nyingine ilitumbukia mtoni. Nimekupa ninachikijua mkuu utaamua wewe.
Basi! Imetosha!!!

Umemaliza kiiila kitu!!!
 
cruiser kwenye maintenance ni cheap kuliko ford, interms of spare parts na mafundi ila kwenye durability ford ranger Hana mpinzani

Cruiser amempita Ford Ranger kwa mbali sana kwenye swala la maintenance, durability na spare parts isipokuwa kwenye speed, ford anachomoka hatari.
Ila kwa shughuli za pori cruiser hana mpinzani
 
Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".

Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.

SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up

2. Limudu safari ndefu za mara kwa mara

3. Limudu barabara za aina zote: lami, vumbi, na hata zenye utelezi nyakati za mvua

4. Liwe na uwezo wa kubeba mizigo midogo mara kwa mara na wakati mwingine muda mrefu - kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine au mingine

5. Lililo na uwezekano wa kudumu
muda mrefu.

Lipi linakidhi hivyo vigezo kati ya FORD RANGER na LAND CRUISER?

Kuna lililo bora zaidi kuzidi hayo machaguo mawili?

View attachment 2751225View attachment 2751229View attachment 2751231View attachment 2751238View attachment 2751239

Kazi ya kufananisha fisi na Simba kwenye uwezo wa kuwinda, no one can beat toyota Landcruiser porini.
 
Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".

Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.

SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up

2. Limudu safari ndefu za mara kwa mara

3. Limudu barabara za aina zote: lami, vumbi, na hata zenye utelezi nyakati za mvua

4. Liwe na uwezo wa kubeba mizigo midogo mara kwa mara na wakati mwingine muda mrefu - kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine au mingine

5. Lililo na uwezekano wa kudumu
muda mrefu.

Lipi linakidhi hivyo vigezo kati ya FORD RANGER na LAND CRUISER?

Kuna lililo bora zaidi kuzidi hayo machaguo mawili?

View attachment 2751225View attachment 2751229View attachment 2751231View attachment 2751238View attachment 2751239
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
 
Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".

Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.

SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up

2. Limudu safari ndefu za mara kwa mara

3. Limudu barabara za aina zote: lami, vumbi, na hata zenye utelezi nyakati za mvua

4. Liwe na uwezo wa kubeba mizigo midogo mara kwa mara na wakati mwingine muda mrefu - kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine au mingine

5. Lililo na uwezekano wa kudumu
muda mrefu.

Lipi linakidhi hivyo vigezo kati ya FORD RANGER na LAND CRUISER?

Kuna lililo bora zaidi kuzidi hayo machaguo mawili?

View attachment 2751225View attachment 2751229View attachment 2751231View attachment 2751238View attachment 2751239
Ford itakupasua achana nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom