Duh unanipeleka mbio. Ngoja nikasome kuhusu CVT.Mkuu gari yenye CVT unywaji wake wa mafuta ni kidogo sana tofauti ma gear box za kawaida,kwa sababu engine haipati kazi kubwa kama hizo zisizo na cvt
Mkuu hata ukiwa speed 100Petrol engine inaanza kufanyakazi speed ikivuka 60kph. Kwahio foleni za mjini unatumia umeme tu.
Ikiwa full electric inabidi uwe na charging port Tz utaipata wapi? Ila kwa hizi zenye petrol na electric petrol engine ikijiwasha nzio inacharge hio electric motor
Utakuwa umefanya jambo la maana na naamini utaongeza kituDuh unanipeleka mbio. Ngoja nikasome kuhusu CVT.
Mkuu hapa kamba hii!! Cc4500 kwa kalita kamoja ikatembee km 18 mpaka 19, hii engine naitaka mie niweke kwenye nissan patrol.Mnazungumzia technologia za kizamani, siku hizi gari ya petrol CC4500 inatembea km 18 mpaka 19
Return hata za petrol zinazoLabda ni Mimi sijaelewa, ila trekta, kwenye tank lake la mafuta kuna pipe mbili: moja juu kabisa ya tank ambayo ni return pipe, na moja ipo chini kabisa ambayo inapeleka mafuta kwenye injini.
Na niliaambiwa yakichomwa yanarudi
Mkuu embu fafanua kuhusu hizi engineMkuu gari yenye CVT unywaji wake wa mafuta ni kidogo sana tofauti ma gear box za kawaida,kwa sababu engine haipati kazi kubwa kama hizo zisizo na cvt
Mkuu unaijua vizuri gari inaitwa crown majesta? ina cc 4300 V8 INA gear 8, inatembea kilomita 19 kwa lita CVT
Mkuu unaijua vizuri gari inaitwa crown majesta? ina cc 4300 V8 INA gear 8, inatembea kilomita 19 kwa lita CVT
Hilo ndio la muhimu sasa mkuu, technology inakuwa kila kukichaWeeeeeeeee,acha nifuatilie mkuu
Mkuu hutojutia mzigo umetulia sana kwa kila idara na bei yake ni murua kabisaMkuu usije kunifanya jumatatu niingie bfoward niiagizie hii ndinga wakati sio,naona bei yake kwa kuagizia ni around 15m,na mzigo umekaa bye balaa
Mkuu hiyo technology iko toyotaMkuu hapa kamba hii!! Cc4500 kwa kalita kamoja ikatembee km 18 mpaka 19, hii engine naitaka mie niweke kwenye nissan patrol.
Mkuu hutojutia mzigo umetulia sana kwa kila idara na bei yake ni murua kabisa
Mnazungumzia technologia za kizamani, siku hizi gari ya petrol CC4500 inatembea km 18 mpaka 19
Mkuu hutojutia mzigo umetulia sana kwa kila idara na bei yake ni murua kabisa
Mkuu huo mzigo ni wa adabu,yaani ni zaidi ya vitz kwenye wese na heshima yake iko juu mnoShow yake si ya kitoto,kuna mmasai mmoja huku mnadani Dakawa Morogoro analo la rangi ya zambarau,tena hata leo alikuja nalo,basi nilijua linabugia kinoma sema kwa sababu yeye ni mfanyabiashara wa ng'ombe ndio maana analimudu,kumbe sio hivyo
Mku hiyo fuel consumption ni ya majesta ambayo pamoja na kuwa na CVT lakini pia ina hybrid,kama hiyo fuel consumption ingekuwa ni kwa natural aspiration bila hybrid basi kungekuwa hakuna haja ya kuhangaika na turbo. Magari mengi sana yana CVT ila huwa wanatumia majina tofauti kutokana na mtengenezaji wa CVT.Mkuu gari yenye CVT unywaji wake wa mafuta ni kidogo sana tofauti ma gear box za kawaida,kwa sababu engine haipati kazi kubwa kama hizo zisizo na cvt
Mkuu huo mzigo ni wa adabu,yaani ni zaidi ya vitz kwenye wese na heshima yake iko juu mno
Boss huyu jamaa atakuingiza mkenge. HYBRID ni tech ya siku nyingi tu. Harrier zipo Hybrid,Toyota Prius ndio ilianza. Gari nyingi Sana zina Hybrid option hadi Range Rover wametoa Hybrid.Mkuu usije kunifanya jumatatu niingie bfoward niiagizie hii ndinga wakati sio,naona bei yake kwa kuagizia ni around 15m,na mzigo umekaa bye balaa
Ha ha ha alipoanza kusema CVT inapunguza fuel consumption nikaona niendelee na mada nyingine. Audi A4 za zamani kibao zina CVT,Mini Cooper kibao zina CVT na zinakula mafuta kama gari ingine yoyote tuMku hiyo fuel consumption ni ya majesta ambayo pamoja na kuwa na CVT lakini pia ina hybrid,kama hiyo fuel consumption ingekuwa ni kwa natural aspiration bila hybrid basi kungekuwa hakuna haja ya kuhangaika na turbo. Magari mengi sana yana CVT ila huwa wanatumia majina tofauti kutokana na mtengenezaji wa CVT.
Nakupa mifano michache hapa
Volkswagen yeye anaiita multitronic
Mercedes---Autotronic
Nissan/Renault--Xtronic etc etc.