Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Eti? 🙂Suleiman hakuwa majalala! Hilo la kwanza kabisa😅...
Sikuhizi bila hela utaishia kukoka kuni jikoni na hekima zako!
Nimeandika kichina au? Ndio maisha yalipofikia mtoto wa miaka 14 mwenye hela anaheshimika kuliko baba wamiaka 45 asiye na hela😅Eti? 🙂
Hahahaaaa...Suleiman hakuwa majalala! Hilo la kwanza kabisa😅...
Sikuhizi bila hela utaishia kukoka kuni jikoni na hekima zako!
[emoji123][emoji123]Naamini Ukiwa Na Hekima Hata Pesa Utazipata Pitia Hekima Hizo Maana Dunia Ina Watu Wapuuzi.
Kwa Hekima Utaweza Kuwa-Manupulate Hawa Wapuuzi Na Kupata Pesa.
Heri Ya Christmas Kwenu Nyote.
Omba ufe mapema kabla hatujafika mkuu! Hekima bila hela haithaminiki sikuhizi hasa katika nchi yetu ya dunia ya 3 iliojaa dhiki na njaa kila kona sio wanasiasa wala wananchi wa kawaida!Hahahaaaa...
Mkuu, kwahiyo kwa kuwa hekima haitakiwi leo, ndiyo maana Hakimu/Jaji anamfunga asiye na hatia anamuacha huru mwenye hatia kwasababu anataka ela wala siyo hekima?
Pia ndiyo maana taasisi zikiwemo za kisiasa na kiserikali zinataka wenye ela kuliko wenye hekima.
Naogopa kwa mwendo huu dunia itafika mahala ambapo inaajiri Hakimu, Jaji, Askari, Tabibu, Daktari mwenye ela kuliko mwenye hekima ya taaluma yake? Hiyo dunia isinikute ningalipo.
Hata Suleman aliomba hekima akapewa ni vingine.. Maandiko yanasema hajawahi kutokea wala hatokaa atokee mwenye utajiri kama wake.Naamini Ukiwa Na Hekima Hata Pesa Utazipata Pitia Hekima Hizo Maana Dunia Ina Watu Wapuuzi.
Kwa Hekima Utaweza Kuwa-Manupulate Hawa Wapuuzi Na Kupata Pesa.
Heri Ya Christmas Kwenu Nyote.
Mkuu,Pesa ni Mungu wa Dunia, unaweza hata kutumia pesa kununua hekima. Ila ukiwa na vyote Dunia ipo mikononi mwako.
Ingekuwa wenye pesa zao wana ^gari-la-aunt^ (guarantee) ya kuishi years on end, au angalau makaburi yao yana JF, FB & IG kwa ajili ya kuwasiliana na wahai wakiwa wamechimbiwa futi ^sea-tar^ chini ardhini, basi mimi hapa ningekuwa wa kwanza ^car-bee-sir^ kubatilisha mtazamo na kukuunga mkono wewe ^key-po-fu^ wa bara.Nimeandika kichina au? Ndio maisha yalipofikia mtoto wa miaka 14 mwenye hela anaheshimika kuliko baba wamiaka 45 asiye na hela😅
Tuhakikishe tunapata hela tu! Dunia haina huruma.
Ni nani amekuambia hao uliowataja hapo juu walikua hawana hela? Haya maneno ya vijiwe vya kahawa yanawapotosha sanaMkuu,
Mbona Nyerere, Nkrumah na Mandela wamestaafu hawana ela ila hekima, na bado wanavuma kuliko wenye ela? Hii inakuwaje?
Mkuu,Hata Suleman aliomba hekima akapewa ni vingine.. Maandiko yanasema hajawahi kutokea wala hatokaa atokee mwenye utajiri kama wake.
Mkuu,Ni nani amekuambia hao uliowataja hapo juu walikua hawana hela? Haya maneno ya vijiwe vya kahawa yanawapotosha sana
Naamini Ukiwa Na Hekima Hata Pesa Utazipata Pitia Hekima Hizo Maana Dunia Ina Watu Wapuuzi.
Kwa Hekima Utaweza Kuwa-Manupulate Hawa Wapuuzi Na Kupata Pesa.
Heri Ya Christmas Kwenu Nyote.
umesema kweli mbaba suleiman hakuwa majalala kabisaa, lakin kumbuka pia suleiman huyohuyo hakuwa boya boya alikuwa na akili (hekima)Suleiman hakuwa majalala! Hilo la kwanza kabisa😅...
Sikuhizi bila hela utaishia kukoka kuni jikoni na hekima zako!