Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

Haya tunayaishi ila the world has full of troubles! Ukiona umefikia point ambayo unaona pesa sio kitu jua you are at the point in life ambapo umesha give in ama you are filthy rich!
Mali ni muhimu lakini ukicompare na Hekima,Hekima is far important.

Just assume you are very rich and you have very stupid son,will you be happy coz unajua hata awe mpuuzi vpi mpunga upo au utapambana kidogo akili yake ikae sawa?
 
Le Mutuz atakuwa na majibu
 
Kinachofanya watu waone hela ni muhimu kuliko hekima ni assumpition ya kuwa hekima inatumika kutoa mawazo tu kwenye kikao cha familia.Kwa namna hii Nobody will go for Wisdom.

Lakini kazi ya hekima sio kutoa suluhisho la migogoro.Yes itatatua migogoro lakini ina far more use than that.

Hekima itakusaidia kuelewa watu na kuengage nao,it will help one be trusted,
Hekima itakusaidia kufanya maamuzi ya kuinvest kulingana na wakati,you need this to make money and keeping the money flowing.

You can have only wisdom and that wisdom can make you rich but You need Wisdom to Keep the money you have coming otherwise the money will perish and will be left with nothing.
You sound logical mkuu,

Naongezea:
Mataifa masikini yanavyokopa Ulaya huwa yanatumia hekima au pesa kupata mikopo?
 
Nitakubali kuchukua hekima endapo tu hiyo hekima itaniwezesha kuipata hiyo pesa.
Mnadhani Mwl. Nyerere alikuwa na maana gani alipoandika kwamba "Pesa Siyo Msingi wa Maendeleo?"

Wachaga na Wahindi walionunua kitabu cha Mwl chenye falsafa hii walichana kurasa zenye mada hiyo na kubakisha zingine. Mmoja wa Mchaga aliyefanya hii ni Mwalimu wangu Tr. Tarimo aliyesoma ECA akaja kuwa Mhasibu na baadaye Mkaguzi Mwandamizi wa Ndani wa Hesabu.

Kwa nini walichana ?

Na msingi wa maendeleo ni nini kwa mujibu wa mwalim nyerere ?
 
SIku za mwisho watu watakuwa wenye kupenda fedha, wenye kujependa wenyewe kuliko kumpenda Mungu na ndugu zao, wenye tamaa ya ngono kupita kiasi, watawakiana tamaa wao kwa wao,
𝐍𝐢𝐦𝐞𝐤𝐚𝐫𝐢𝐫𝐢 𝐡𝐚𝐲𝐨 𝐦𝐚𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐭𝐮 𝐢𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐣𝐮𝐢 𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐛𝐮 𝐠𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐬𝐮𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐧𝐠𝐚𝐩𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐛𝐢𝐛𝐥𝐞,𝐓𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐤𝐞 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞𝐧𝐢
 
Nimeandika kichina au? Ndio maisha yalipofikia mtoto wa miaka 14 mwenye hela anaheshimika kuliko baba wamiaka 45 asiye na hela[emoji28]

Tuhakikishe tunapata hela tu! Dunia haina huruma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naamini Ukiwa Na Hekima Hata Pesa Utazipata Pitia Hekima Hizo Maana Dunia Ina Watu Wapuuzi.

Kwa Hekima Utaweza Kuwa-Manupulate Hawa Wapuuzi Na Kupata Pesa.

Heri Ya Christmas Kwenu Nyote.
Uta ziuza au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaaaa...
Mkuu, kwahiyo kwa kuwa hekima haitakiwi leo, ndiyo maana Hakimu/Jaji anamfunga asiye na hatia anamuacha huru mwenye hatia kwasababu anataka ela wala siyo hekima?

Pia ndiyo maana taasisi zikiwemo za kisiasa na kiserikali zinataka wenye ela kuliko wenye hekima.

Naogopa kwa mwendo huu dunia itafika mahala ambapo inaajiri Hakimu, Jaji, Askari, Tabibu, Daktari mwenye ela kuliko mwenye hekima ya taaluma yake? Hiyo dunia isinikute ningalipo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu,
Mbona Nyerere, Nkrumah na Mandela wamestaafu hawana ela ila hekima, na bado wanavuma kuliko wenye ela? Hii inakuwaje?
Elon musk humjui?? bill gate?? Jef Amazon huwajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa wenye pesa zao wana ^gari-la-aunt^ (guarantee) ya kuishi years on end, au angalau makaburi yao yana JF, FB & IG kwa ajili ya kuwasiliana na wahai wakiwa wamechimbiwa futi ^sea-tar^ chini ardhini, basi mimi hapa ningekuwa wa kwanza ^car-bee-sir^ kubatilisha mtazamo na kukuunga mkono wewe ^key-po-fu^ wa bara.

#KataaWahuni
Mwenye hekma ndo anavyo ivo vitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom