Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

Name one person ambaye you think ana hekima ambaye ni poor
Hautoweza kuwafahamu na hata ukitajiwa hautaweza kusadiki kwakuwa tu hawana fedha ambayo ingewasaidia watambulike.

Unategemea utajiwe watu wenye hekima zao vijijini huko ambao ni masikini utawajua?
 
Ingekuwa Mungu anawauliza vijana wa leo wachague kati ya Hekima na Fedha unadhani wangechagua kipi?


View attachment 2057925
Mfalme Sulemani akiongoza kikao cha Baraza la Wakeze. Taswira kwa hisani ya google.
Hekima ni nin tuanzie hapo...
Je ni akil..ufaham wa mambo..IQ

Perhaps hekima ya enz hzo ilimaanisha haya...sio hekima kama hekima

Well..kama hekima ilimaanisha the above..bas hata mim nitachagua hekima

Sabab hata nikipewa 1bilion kama sina the above..itapukutika in two years na ntarud square 1
 
Ni maneno ya kufarijiana ukweli ni kamba pesa ina hitaji discipline ya hali ya juu kama huwezi kua nayo pesa utazisikia kwa majirani
Cliff Wyn ameandika hivi:

Kwa sasa, wenye HEKIMA Hujificha kwa HOFU na kuwaacha wenye FEDHA waamue Mustakabali wa Familia, Ukoo ama TAIFA
 
Mimi maombi Yangu kwa Mungu hua Ni mafupi tu.
Mungu endelea kunipatia njia za kupata pesa nifungulie milango Zaid.Nijalie hekima na busara .
Mada inakuambia chagua moja kati ya pesa na hekima. Sulemani aliambiwa achague moja akachagua hekima ndipo Mungu akamzawadia mali kama motivation.

Wewe unachagua kipi Bwashee Mangi? Siyo lazima na wewe uzawadiwe kama Sulemani.
 
Hekima ni nin tuanzie hapo...
Je ni akil..ufaham wa mambo..IQ

Perhaps hekima ya enz hzo ilimaanisha haya...sio hekima kama hekima

Well..kama hekima ilimaanisha the above..bas hata mim nitachagua hekima

Sabab hata nikipewa 1bilion kama sina the above..itapukutika in two years na ntarud square 1
Kuna mtazamo mitaani kuwa walevi (as general term) e.g. wa madaraka, wa mapenzi, wa pombe, wa ufisadi, watovu wa maadili na wengine wanaofanana na hao ndiyo pesa huwapenda na kuwafuata maana wananukia maovu, lakini mamajusi wenye hekima pesa zinawatoroka kwasababu wananuka utakatifu. Eti hao hao waovu ndiyo watoaji wazuri japo kwa staili ya kutaka kusifiwa. Nini maoni yako?
 
Kiukwekeli sina pesa, nina tuhekima kidogo (kwa mujibu wa watu) na ndio huto hunipatia pesa
View attachment 2058326
Kwahiyo akina Nyerere, Mandela, Nkrumah, Kaunda, Machel, Olympio, Sankara, Nasser, Sadaat, Tubman, Netto, Banana, Masire, Obote, Haile Marian, wasingefaa kuwa viongozi leo kwasababu wana hekima bila pesa?
 
Ni vyema hekima ikaja kwenye umri at least miaka 0 hadi 12 umri unaobakia tengeneza pesa acha longo longo
 
Hela kwanza,

Ukiwa na hela, hekima zinakuna Zenyewe[emoji2]
 
Pesa tu yatosha mkuu hata kama huna hekima utatumia pesa kupata wenye hekima watakuongoza na utawalipa ndio maana kuna wasomi wanaajiriwa kama managing directors kwa matajiri wasiosoma,dunia ya leo na hekima zako utaishia kudharaulika hata na watoto wadogo,..kuwa na pesa toa hata ushauri wa kipumbavu utaitikiwa ndio mkuu!
 
Hela kwanza,

Ukiwa na hela, hekima zinakuna Zenyewe[emoji2]
Donald Trump alitangulia kutengeneza ela kwanza lakini hekima zikagoma kumuijia akiwa na ela.

William Ruto alitangulia kutengeneza ela kwanza lakini hekima zikamgomea akaingiza nchi kwenye machafuko ya damu 2008 na kubaki kwenye historia hiyo mbaya.
 
Inategemea na kitu ambacho sina na ninakiitaji kwa mda huo.
 
Back
Top Bottom