Barakate I have
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 736
- 664
Ndio[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Wenye pesa wote wanaonekana wana Hekima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Wenye pesa wote wanaonekana wana Hekima.
I will name 5 most poor elites in the world's richest country:Name one person ambaye you think ana hekima ambaye ni poor
Walichana kwasababu waliogopa watoto wao wasije kusoma kurasa hizo.Kwa nini walichana ?
Na msingi wa maendeleo ni nini kwa mujibu wa mwalim nyerere ?
2 Timotheo.3:1-5SIku za mwisho watu watakuwa wenye kupenda fedha, wenye kujependa wenyewe kuliko kumpenda Mungu na ndugu zao, wenye tamaa ya ngono kupita kiasi, watawakiana tamaa wao kwa wao,
𝐍𝐢𝐦𝐞𝐤𝐚𝐫𝐢𝐫𝐢 𝐡𝐚𝐲𝐨 𝐦𝐚𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐭𝐮 𝐢𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐣𝐮𝐢 𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐛𝐮 𝐠𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐬𝐮𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐧𝐠𝐚𝐩𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐛𝐢𝐛𝐥𝐞,𝐓𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢𝐤𝐞 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞𝐧𝐢
Wenye HEKIMA ndo mafundi wakupora. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na hekima unaweza kulala mlango wazi salama hadi asubuhi.
Ukiwa na pesa huwezi kulala mlango wazi hadi asubuhi.
Kwahiyo kumbe mlinzi wa mtu ni hekima yake, siyo pesa, pia adui wa mtu ni pesa yake mwenyewe, hekima siyo adui wa mtu. (najifunza kuwa Sulemani wa leo)
Uzuri wa hekima ni kwamba ukifilisika hekima hauonekani ila ukifilisika pesa unajulikana hata kwa jibwa lako.Aliishia wapi na mafwedha yake aliyoyapata kwa wizi?
Pesa zako utakua unazitupa nn[emoji23][emoji23][emoji23]???Siamini katika hilo mkuu kwasababu pesa inafilisika lakini hekima haifilisiki hivyo nguvu ya pesa ni ya kitambo tu ilhali nguvu ya hekima inadumu hadi dahari. (najifunza kuwa Sulemani wa leo)
Iyo demokrasia ili mahnisha ninI will name 5 most poor elites in the world richest country:
1. James A. Garfield 20th US President.
2. Chester Arthur 21st US President.
3. Woodrow Wilson 28th US President.
4. Calvin Coolidge (a.k.a The Silent Cal) US President.
5. Harry S. Truman 33rd US President. Huyu amevunja rekodi. Lakini pia Abraham Lincoln (aliyetoa tafsiri ya kimarekani ya neno Demokrasia alikuwa mchoma mkaa na aliwahi kushitakiwa kwa kesi ya kuharibu mazingira kabla ya kuwa rais)
Kiukwekeli sina pesa, nina tuhekima kidogo (kwa mujibu wa watu) na ndio huto hunipatia pesa
View attachment 2058326
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐢𝐤𝐮𝐦𝐛𝐮𝐬𝐡𝐚, 𝐮𝐛𝐚𝐫𝐢𝐤𝐢𝐰𝐞2 Timotheo.3:1-5
Lincoln wrote these words:Iyo demokrasia ili mahnisha nin
Inasemekana pesa zinaogopa wenye busara na zinapenda waovu.Pesa hazikai kwa mtu asie na busara
Kamaradi Cliff,Hekima ya mtu si mwonekano wake wake wa nje, Utaratibu wake wa kusalimu watu, ama utulivu wa uso na mwenendo wake ktk Ibada,
bali ni lile neno alisemalo kwa kinywa chake na kuwafaa watu wakati wa uhitaji wao.
Neno lenye kuleta NJIA ama SURUHISHO kwa wahitaji.
Japo ni changamoto kidogo kwa kizazi cha sasa. Kama jinsi nilivyothimuliwa sehemu fulani huko USA RIVER kwa WAMERU,
Mzee aliyetoa suruhisho la mirathi ya marehemu kukabidhiwa mke wa marehemu ili awahudumie watoto wa 3 na mama wa marehemu,,, Alikashifiwa, kutukanwa na kutimuliwa kikaoni na kijana wa makamo mwenye harufu ya Fedha.
kijana akasema, Mwanamke aende mkoani kwao, hana cha kurithi, mkataba wake umeishia hapo, ndugu wataendeleza mali za marehemu. ( na wote wakapiga makofi na kushangilia)
FEDHA IMEHARIBU HATMA YA MAMA NA WATOTO WAKE.
..........HERI HEKIMA KULIKO MALI NYINGI.
Ni maneno ya kufarijiana ukweli ni kamba pesa ina hitaji discipline ya hali ya juu kama huwezi kua nayo pesa utazisikia kwa majiraniInasemekana pesa zinaogopa wenye busara na zinapenda waovu.
Kwa sasa, wenye HEKIMA Hujificha kwa HOFU na kuwaacha wenye FEDHA waamue Mustakabali wa Familia, Ukoo ama TAIFA.Kamaradi Cliff,
Reserve your words, ila mimi nimekuelewa 100% but kuna watu hata humu watampa nishani huyo kijana.
Nyerere hajaleta UhuruNi kweli mkuu,
Walikuwa vibaraka wa #Haki, #Amani, #Maendeleo hivyo kumbe walikuwa Mamajusi (wenye hekima) waliotangulia kuona uhuru wa Afrika ukija kwa mbaaali.