Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

Unamuiga huyo wakati Hakuwa na shida na pesa Kwa sababu kazaliwa kwenye familia Tajiri ya kifalme.

Mtu huomba asichokuwa nacho.
Sasa Suleiman alikuwa na Utajiri tayari na ufalme kutoka Kwa Baba yake ulitaka aombe tena mambo ambayo tayari anayo?

Alichokikosa ni hekima ndio maana akaomba hekima ya kumuwezesha kuzitumia pesa na ufalme wake vizuri.

Wewe ukiambiwa uchague cha kuomba usimuige Suleiman Mkuu
Wakati Solomoni anachukua nchi ,taifa lile halikuwa tajiri,lakini katika kipindi cha utawala wake ndipo kipindi ambacho Israel ilikuwa prosperous kuliko kipindi chote cha historia yake.

Halafu kwa ngazi ya Mtawala kama mffalme maombi yake hayawi maombi binafsi,yaani hata angeomba Utajiri maana yake angeombea utajiri kwa taifa lake au pengine angeomba nguvu za kivita.Kwa hiyo suala la kuomba utajiri au hekima was always about the Nation. Jamaa aliomba hekima ili apate uwezo wa kujudge watu wake justly sio aitumie yeye imnufaishe eti kwa sababu tayari mali alikuwa nayo.
 
Action zipi zilizokufanya u-conclude yule bwana hana Hekima?
Kuzuia watu from other continents wasiende marekani tu sio hekima! Kuwadhihaki wachina several times, kusumbuana na North Korea over trivial matters.

But on top of all that can’t deny that muthafucka got stakes!
 
Kufukuza watu wasiende marekani tu sio hekima! Kuwadhihaki wachina several times, kusumbuana na North Korea over trivial matters.
Nani kakwambia kuwazuia watu wasiende Marekani sio Hekima? Au kuwadhihaki wachina sio Hekima? The only way to understand kuwa jamaa hakuwa na Hekima kwa maamuzi yale ni pale mtu mwengine ambaye ni proved kuwa ana Hekima aje atuambie.
 
Hekima isiyoweza kuzalisha fedha au mali ni ujinga mtupu
Nawapenda wachaga kwao akili ni kitu kinachoonekana utaulizwa kama wewe una akili una shilingi ngapi tuonyeshe mali hizo akili zako ilizozalisha
Wenye fedha hawawezi kitu bila wenye hekima. Yaani wenye fedha wanahitaji hekima za wenye hekima wazitumie kutengeneza fedha. Wachaga walikuwa wanatumia migomba kulisha mifugo hadi wenye hekima walipokuja kuwafumbua macho kuwa migomba huzaa ndizi ambazo hutengeneza machalali. Bila wenye hekima kugundua vyombo vya usafiri Wachaga wasingeenda Moshi Disemba.
1640586735623.png

Maandamano ya Wachaga wenye pesa bila hekima wakipanda mabasi yaliyobuniwa na wenye hekima bila pesa kwenda kuambara Moshi Disemba.

1640586908730.png

Zao la mgomba ambalo kabla ya kugunduliwa matumizi yake kwa binadamau mwaka 1834 na wenye hekima bila pesa Wachaga na pesa zao bila hekima hawakujuwa kama linaweza kutengeneza machalali matamu ambayo ndiyo chakula kikuu Uchagani leo. Taswira zote kwa hisani ya google.
 
Nyumba ya Rais anajenga mwenyewe au anajengewa na serikali?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Aligoma kujengewa, serikali ikamjengea kwa nguvu. Ile ya Butiama Mwitongo alijengewa kwa nguvu na serikali kupitia kandarasi ya SUMA JKT, ile ya Msasani alimilikishwa na NHC kwa nguvu baada ya yeye kukataa akidai anarudi kuishi Butiama. Ni JPM ndiyo baadaye sana alikuja kuhuisha sheria ya makazi rasmi ya marais wastaafu.
 
Wenye fedha hawawezi kitu bila wenye hekima. Yaani wenye fedha wanahitaji hekima za wenye hekima wazitumie kutengeneza fedha. Wachaga walikuwa wanatumia migomba kulisha mifugo hadi wenye hekima walipokuja kuwafumbua macho kuwa migomba huzaa ndizi ambazo hutengeneza machalali. Bila wenye hekima kugundua vyombo vya usafiri Wachaga wasingeenda Moshi Disemba.
View attachment 2059147
Maandamano ya Wachaga wenye pesa bila hekima wakipanda mabasi yaliyobuniwa na wenye hekima bila pesa kwenda kuambara Moshi Disemba.

View attachment 2059151
Zao la mgomba ambalo kabla ya kugunduliwa matumizi yake kwa binadamau mwaka 1834 na wenye hekima bila pesa Wachaga na pesa zao bila hekima hawakujuwa kama linaweza kutengeneza machalali matamu ambayo ndiyo chakula kikuu Uchagani leo. Taswira zote kwa hisani ya google.
Wewe nae huna hekima ume anza mambo ya ukabila humu
 
Nani kakwambia kuwazuia watu wasiende Marekani sio Hekima? Au kuwadhihaki wachina sio Hekima? The only way to understand kuwa jamaa hakuwa na Hekima kwa maamuzi yale ni pale mtu mwengine ambaye ni proved kuwa ana Hekima aje atuambie.
Sawa wewe unapoweka masharti ndugu zako wasije kwako sababu ya choyo inamaanisha una hekima until babu yako atapokuja kukuchana sindio?
 
Sawa wewe unapoweka masharti ndugu zako wasije kwako sababu ya choyo inamaanisha una hekima until babu yako atapokuja kukuchana sindio?
Maamuzi ya individual ni tofauti na maamuzi ya kiutawala hasa kwa ngazi kubwa kama maRais na Wafalme,ndo maaana hata Sulemani alipoomba Hekima watu wakadai kuwa kwa kuwa tayari ana mali kitu ambacho ni kweli kwa ngazi ya individual lakini alichoomba kilikuwa ni cha kitaifa na ndo maana akaomba Hekima kuwaamua watu wake.
 
Pesa tu yatosha mkuu hata kama huna hekima utatumia pesa kupata wenye hekima watakuongoza na utawalipa ndio maana kuna wasomi wanaajiriwa kama managing directors kwa matajiri wasiosoma,dunia ya leo na hekima zako utaishia kudharaulika hata na watoto wadogo,..kuwa na pesa toa hata ushauri wa kipumbavu utaitikiwa ndio mkuu!
Mkuu, kukosa hekima ni hatari kwa afya hao wanao kutumikia,
Ni rahisi kuwaua wenye HEKIMA uliowaajiri kwa kosa dogo lililohitaji uvumilivu wa muda kidogo tu.
FEDHA huleta KIBURI, DHARAU, MAJIVUNO ...............Kama huna HEKIMA utawaona watu wote ni SISIMIZI mbele yako.
Hata WAZAZI WAKO utataka wakupigie magoti na kukusujudia.
 
Sasa ukiwa na hekima bila pesa hayo yotendo huwa kinyume chake watu wote watakuona sisimizi hata wazazi wako watasema tumezaa kutoa minyoo tumboni,ndugu zako watakudharau hadi basi,acha tu wenye pesa wajivune hujui walinyanyasika vipi walipokua wakitia mawazo ya hekima wakiwa makapuku na yakapuuziwa na kudhihakiwa... ufukara ni mbaya sana ndugu yangu!
 
Unamuiga huyo wakati Hakuwa na shida na pesa Kwa sababu kazaliwa kwenye familia Tajiri ya kifalme.

Mtu huomba asichokuwa nacho.
Sasa Suleiman alikuwa na Utajiri tayari na ufalme kutoka Kwa Baba yake ulitaka aombe tena mambo ambayo tayari anayo?

Alichokikosa ni hekima ndio maana akaomba hekima ya kumuwezesha kuzitumia pesa na ufalme wake vizuri.

Wewe ukiambiwa uchague cha kuomba usimuige Suleiman Mkuu
Dah kweli
 
Back
Top Bottom