Hata hao miamba 6 kuna watu wana uwekezaji mkubwa
Tanesco takataka tu.umesahau kuipachika hapo TANESCO
Akili zako matope kweli..kwahiyo unadhani hao wafanyakazi hawakatwi kodi?..huu ujinga utawatoka lini?
#MaendeleoHayanaChama
Akili ndogo, kwani zimetajwa taaluma au taasisi/shirikaMbona walimu na polisi umewaruka?
Hawa bado bado kidogo.umesahau kuipachika hapo TANESCO
Weka figures kama unafahamu mkuu....Endeleeni kudharau tfs kuna watu wanapiga mipunga balaa
Inawezekana kabisaSehemu zote hizo zipo vizuri ila TCRA anawazidi wote.
Labda TBS anaweza kuingia kwenye orodha. TCRA tayari yupo hapoVipi kuhusu.
TCRA,TBS,MSD,TMDA,NEMC,STAMICO?
#MaendeleoHayanaChama
Inamaana BOT wachovu kwa hawa jamaa?Nadhani TCRA
Nashukuru sanaHizi ndizo
1.TMAA graduate alikuwa anaanza na 4.5 bahati mbaya Magu ameivunja.
2.TCRa wanaanza na 4.
3.Ewura 3.5
4.TPA 2.8
5.REa 2.5
BoT,TPDC,TRA, NSSF,na wengineo wengi wanaanza 2 hadi 1.5 na hao TPDC ni 1.8.
Kazi kwako.
Hahahaa! Wazee wa misitu.Endeleeni kudharau tfs kuna watu wanapiga mipunga balaa
Kuna zile ajira 400 za TRA interview ilifanyika DUCE, kuna jamaa yangu alipata ila anasema salary walianza na laki 9.6Kuna Mzee yupo TRA, enzi za kikwete,
Alinunua nyumba Mwanza pale, kwa shilingi milion 600.
Alafu akaibomoa yote. Akajenga alokua anataka.
Kumbe mwamba alikua shida yake ni kiwanja