Euroleague
JF-Expert Member
- Apr 11, 2020
- 515
- 1,410
Shida wengi wanaojadili hawajawahi kupitia hizi taasisi. Hali ni Mbaya. Kama TANAPA ndio usiseme, watu wa hazina wanacheka tu wakiona hii mada.Kwenye awamu hii TANAPA wanaisoma namba. Zile posho walizokuwa wakijigawia kwishney
JESUS IS LORD
Shida wengi wanaojadili hawajawahi kupitia hizi taasisi. Hali ni Mbaya. Kama TANAPA ndio usiseme, watu wa hazina wanacheka tu wakiona hii mada.
Hamna cha ajabu Ila mishahara mingi inayolipwa wanafahamu japo mfumo ndio unalipa ila mtu akiingia kwenye data atajua tu unalipwa kiasi gani. Ni Kama ufanye kazi benki unaweza kuangalia akaunti ya jamaa yako ukaona kabakiza buku tu.Hazina kuna nini cha ajabu kule
Kwahiyo unaweza kuta mbabe ni NIMR au TFSHamna cha ajabu Ila mishahara mingi inayolipwa wanafahamu japo mfumo ndio unalipa ila mtu akiingia kwenye data atajua tu unalipwa kiasi gani. Ni Kama ufanye kazi benki unaweza kuangalia akaunti ya jamaa yako ukaona kabakiza buku tu.
Hao TFS kila siku kesi tu zinawaandama wafanyakazi wake. Kiufupi taasisi nyingi za serikali hamna maajabu kihivyo JIWE akiamua hata kesho kutoa maelekezo na kuwapokonya mamlaka ya kujipangia mishahara mbona wanaishi kama manyani tu. Hamna mtumishi tajiri niwizi tu ndio unafanya watumishi wajenge na kununua magari mazuri.Kwahiyo unaweza kuta mbabe ni NIMR au TFS
Unaongelea scale ambayo ilikuepo kabla ya Kikwete kuwapandishia mshahara fatilia vizuri upate majibu!Pesa hakuna uku msijidanganye private mshahara wake ni 490k ukijumlisha 350k ni kama 800k ivi amna kitu...
Uzuri nimeona umekiri mwenyewe kule juu kuwa "labda kuanzia jiwe moja"! Ndiyo jeshini ukiwa officer hela nje nje tu kuliko hata baadhi ya hao wengine uliowataja hapo!Hela ya ugali tu na kubadilisha mboga hakuna kingine
Mkuu kwani jeshini kuna maprivate tu? Mbona hamtaji na mishahara na posho za maofficer?Pesa hakuna uku msijidanganye private mshahara wake ni 490k ukijumlisha 350k ni kama 800k ivi amna kitu...
Ni kweliUzuri nimeona umekiri mwenyewe kule juu kuwa "labda kuanzia jiwe moja"! Ndiyo jeshini ukiwa officer hela nje nje tu kuliko hata baadhi ya hao wengine uliowataja hapo!
Ila mkuu kama TANAPA hali ni mbaya mahali ambapo mshahara wa mlinzi ni sawa na Engineer wa halmashauri je sisi wengine huku wazee wa TGS tutakuwa kaburini kabisaShida wengi wanaojadili hawajawahi kupitia hizi taasisi. Hali ni Mbaya. Kama TANAPA ndio usiseme, watu wa hazina wanacheka tu wakiona hii mada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama amewaruka ww warukie
Ndiyo Ukweli WenyeweWalioko masomoni si ndio hao wanaambiwa wajiajiri.
kweli mkuu, hajui hata private siku hizi kuna wengine wakijumulisha na allowance nyingine wanafika au kuzidi 1.5m per month hapo hajagusa afisa yeyote yuleUnaongelea scale ambayo ilikuepo kabla ya Kikwete kuwapandishia mshahara fatilia vizuri upate majibu!
Hiyo ukiyoiweka hapo ni kabla ya kupandishiwa.
hajui maafisa wengi wanafolenisha hizo taasisi wanazozizungumziaMkuu kwani jeshini kuna maprivate tu? Mbona hamtaji na mishahara na posho za maofficer?
Unamaanisha yule private anaetoka depo na kupangiwa kikosi au private mwenye miaka 5 na zaidi kazini ndio anakunja hiyo?kweli mkuu, hajui hata private siku hizi kuna wengine wakijumulisha na allowance nyingine wanafika au kuzidi 1.5m per month hapo hajagusa afisa yeyote yule
kwa private wa miaka mitano kwenda mbele wengi wana uhakika wa hiyo pesa au zaidi, ila kwa private wapya ni baadhi hasa wenye P.A ndo wanaweza kunja hiyo hela.nilichokuwa najaribu kumuelekeza huyo aliyezungumzia privates ni kuwa kuwa kuna privates wanakunja pesa ndefuUnamaanisha yule private anaetoka depo na kupangiwa kikosi au private mwenye miaka 5 na zaidi kazini ndio anakunja hiyo?
Mfano private mwenye degree ya kwanzakwa private wa miaka mitano kwenda mbele wengi wana uhakika wa hiyo pesa au zaidi, ila kwa private wapya ni baadhi hasa wenye P.A ndo wanaweza kunja hiyo hela.nilichokuwa najaribu kumuelekeza huyo aliyezungumzia privates ni kuwa kuwa kuna privates wanakunja pesa ndefu