- Thread starter
- #201
Kama unafanya mishe nyingine badili jina hilo mkuu au ulisomea mambo ya bahari?Mkuu wanalipwa vizuri sana, Mimi nakomaa na mishe nyingine zinazokuja mbele yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unafanya mishe nyingine badili jina hilo mkuu au ulisomea mambo ya bahari?Mkuu wanalipwa vizuri sana, Mimi nakomaa na mishe nyingine zinazokuja mbele yangu.
Nadhani hata kwao kuna vitengo.Wengi ni chokest tu labda apate dili la kwenda mission za UN ama awe senior officer.
Mkuu usilolijua ni usiku wa giza, tofauti hata na misheni kuna NCO's na wateule wanapiga 3mil had i 4mil pia maafisa wadogo wanapiga mpunga mrefu tu, koplo wanapiga hadi 2mil, narudia tena jambo usilolijua ni usiku wa gizaWengi ni chokest tu labda apate dili la kwenda mission za UN ama awe senior officer.
kuna allowance tofauti kulingana na vikosi na command, vikosi vya mizinga au komando trade yao ni tofauti na jkt, navy ni tofauti na air force watu wengi wanadhani askari wakiwa na cheo kimoja wanalingana mshahara, kuna trade tofauti kulingana na vikosi, pia kuna professionals,Nadhani hata kwao kuna vitengo.
Mfano luteni mwalimu Makongo na luteni aliye kikosi cha anga au muhasibu sidhani kwenye posho kama watakuwa sawa
Pamoja sana.kuna allowance tofauti kulingana na vikosi na command, vikosi vya mizinga au komando trade yao ni tofauti na jkt, navy ni tofauti na air force watu wengi wanadhani askari wakiwa na cheo kimoja wanalingana mshahara, kuna trade tofauti kulingana na vikosi, pia kuna professionals,
Mkuu usilolijua ni usiku wa giza, tofauti hata na misheni kuna NCO's na wateule wanapiga 3mil had i 4mil pia maafisa wadogo wanapiga mpunga mrefu tu, koplo wanapiga hadi 2mil, narudia tena jambo usilolijua ni usiku wa giza
kweli mkuu kule wanalipwa vizuriPamoja sana.
Kaka yangu mkubwa/first born ni major sio haba
ndio mkuuUmri kazini na elimu pia inaangaliwa
Mkuu usilolijua ni usiku wa giza, tofauti hata na misheni kuna NCO's na wateule wanapiga 3mil had i 4mil pia maafisa wadogo wanapiga mpunga mrefu tu, koplo wanapiga hadi 2mil, narudia tena jambo usilolijua ni usiku wa giza
Mshahara ni mmoja posho ni tofauti weka hivyo.kuna allowance tofauti kulingana na vikosi na command, vikosi vya mizinga au komando trade yao ni tofauti na jkt, navy ni tofauti na air force watu wengi wanadhani askari wakiwa na cheo kimoja wanalingana mshahara, kuna trade tofauti kulingana na vikosi, pia kuna professionals,
Nimesoma ubaharia, ninajishughulisha na masuala ya bahari ingawa si muajiriwa kwenye taasisi.Kama unafanya mishe nyingine badili jina hilo mkuu au ulisomea mambo ya bahari?
Good!Nimesoma ubaharia, ninajishughulisha na masuala ya bahari ingawa si muajiriwa kwenye taasisi.
Kuna taasisi ya serikali degree anaanza na 2,340,000/-
Hii ni kweli kabisa 100% yaani umeandika exactly hadi chenchiKuna taasisi ya serikali degree anaanza na 2,340,000/-
Kuna jamaa alikuwa askari magereza akapata kazi kwenye taasisi moja ya umma kama security officer. Siku anapewa mkataba salary yake ilikuwa 2.2 millions. Believe me or not jamaa anatetemeka kwa furaha.Hii ni kweli kabisa 100% yaani umeandika exactly hadi chenchi
Taasisi gani hiyo nami nipambane kuipata iyo ajira. Mana kujiajiri nishafilisikaKuna taasisi ya serikali degree anaanza na 2,340,000/-
Sijaelewa...Magereza sio taasisi ya Umma auKuna jamaa alikuwa askari magereza akapata kazi kwenye taasisi moja ya umma kama security officer. Siku anapewa mkataba salary yake ilikuwa 2.2 millions. Believe me or not jamaa anatetemeka kwa furaha.
Tena nafikiri wakati anarudi njia nzima alikuwa anamsifu Mungu kwa ukuu wake.
Sijaelewa...Magereza sio taasisi ya Umma au
Taasisi gani hiyo nami nipambane kuipata iyo ajira. Mana kujiajiri nishafilisika
Sent using Jamii Forums mobile app