jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,908
- 15,013
Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu?
Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo:
Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo:
- Maisha nje ya kazi (quality of life).
- Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara.
- Utulivu na usalama wa mazingira.
- Upatikanaji wa huduma za kijamii (hospitali, shule, benki, usafiri n.k.).
- Gharama za maisha kwa ujumla.
- Gharama za kuanzisha makazi ya kudumu, ikiwemo viwanja, nyumba na ujenzi.