jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,908
- 15,013
- Thread starter
- #21
SahihiHakuna sehemu mbaya wala nzuri kati ya hizo
Ni wewe tu ndio utaamua sehemu iwe nzuri au mbaya
Kuna matajiri waliotoboa Tanga na wapo waliotoboa Igunga
Kuna masikini wamechoka wanaamini Tanga mbaya na Igunga vivyo hivo
Mi huwa nasafiri sana kwenye kibarua changu…. Huwa nafika mahali ndani ndani huko mikoani unakuta kuna wamba wamejipata kwa fursa za huko wanaishi kifahari wanamajumba na magari hadi unajiona bwege tu na Daslamu yako