Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

😁😁 zile T3 kama yule jamaa anavyosemaga hazitaondoka kwako basi.
T1 haiboi kama imesimama dede
T2 inaboa ila inasaidia kuweka kichwa cha mchumba
T3 hii ni unyama inafanya macho yasichoke kutazama na mikono isichoke kushika

Kwanini tutoe T3 wakati ni mali watu wanazililiaπŸ˜‚
 
Aisee! Na mimi nitajaribu nione!
 
Ila yote kwa yote kaskazini nawapa maua yenu mdudu mnajua kumuenzi jamaa mnakula hii kitu ni noma nchi hii mnaongoza
Nilizaliwa na kukulia Kaskazini, lakini nilipofika Njombe niliwavulia kofia. Inawezekana ndiyo kitoweo kinacholiwa kwa wingi zaidi.
 
Ni wapi huko mkuu?

Haya mambo si ya kufichana ujue!
Karagwe/kyerwa vijiji vya mipakani, naamini mambo hayajabadilika, wanawafuga na kuwachunga km mbuzi, nyama yake inakuwa km ngiri(nguruwe pori),

Uhutu na tutsi upo si kwa kiwango cha Rwanda ila upo, inaaminika wahutu ni wakulima na wafuga nguruwe na watutsi ni wafugaji wa ng'ombe na mbuzi kwahiyo soko la kitimoto sio kubwa kihiivyo,
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…