Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

Upate ile fresh imetoka kuchinjwa...alafu ichome au kaanga weka na mazagazaga..hatari sana yule mnyama.

Nb; nilikua sehem sasa kuna jirani fulani ni muslim alialikwa na watoto wake..sasa wale wenyeji walikua wameleta kitimoto choma safi sana..wakakaribishwa mama mtu kumzuia mtoto akashindwa mtoto kaenda kuonja akasema " mama kitimoto tamu sijawahi ona.."
Sasa mtoto kama huyo si kashaingia kundini.
Wenyeji wake walikuwa na nia gani kuwakaribisha ilhali wanajua si walaji wa hiyo mboga? Walitaka kuwapima imani?
 
Back
Top Bottom