Kati ya Land Cruiser hizi za polisi na hizi Altezza zipi zinazokimbia sana?

umeeleza vizuri sanaa.so altezza ipi ina horsepower kubwa?
 
2000hp sio kitoto
 
Unapanga kufanya shughuli gani unazotaka kuwashinda polisi mbio? Kumbuka kuwa gari zao zikishindwa, wao huwahisha shaba.
Usijesema hukujua kati ya shaba na hiyo gari ipi inakimbia sana.🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Zama za kukimbizana zimepita kila mtu anayapenda maisha. Mimi Ni mtu wa adventure Sana naweza kuwa naenda Arusha kutokea Dar nikaendesha kwa 12 hours with several stops(Msata, Korogwe na Njia panda ya Himo stops) in between.
 
umeeleza vizuri sanaa.so altezza ipi ina horsepower kubwa?
Kama huna plan za modification, basi yenye 3sge beams bora. ni nyepesi kuliko yenye 2jzge. 2JZ imeizidi 3s kama kwa horspower 20 ivi. Lakini usishangae mwenye 3s akawa mbele yakokwa sababu yenye 2jz inakilo nyingi zaid ya 3s
 
Zama za kukimbizana zimepita kila mtu anayapenda maisha. Mimi Ni mtu wa adventure Sana naweza kuwa naenda Arusha kutokea Dar nikaendesha kwa 12 hours with several stops(Msata, Korogwe na Njia panda ya Himo stops) in between.
Bado zipo mkuu, Arusha wanakutana wakenya kupimishana vifua 😀 uku kuna wengine wanaenda mikoani usiku kuepuka tochi
 
Kama huna plan za modification, basi yenye 3sge beams bora. ni nyepesi kuliko yenye 2jzge. 2JZ imeizidi 3s kama kwa horspower 20 ivi. Lakini usishangae mwenye 3s akawa mbele yakokwa sababu yenye 2jz inakilo nyingi zaid ya 3s
nimekupata.hivi ukitoa kufunga turbo modifications gani nyingine watu wanafanya?nina plan na modifications
 
Zama za kukimbizana zimepita kila mtu anayapenda maisha. Mimi Ni mtu wa adventure Sana naweza kuwa naenda Arusha kutokea Dar nikaendesha kwa 12 hours with several stops(Msata, Korogwe na Njia panda ya Himo stops) in between.
huwa unatumia gari ipi kwa safari ndefu kama hizo?
 
nimekupata.hivi ukitoa kufunga turbo modifications gani nyingine watu wanafanya?nina plan na modifications
Modification ndogo ambazo athari zake huwezi kuzifeel ni kuweka Cold air intake na straight exhaust pipe (haina vi baffler) Ila ukitaka perfomance ya kuona athari yake ni kuweka turbo ama supercharger. Sio rahisi kupata supercharger lakini ni rahisi kupata turbo kits kwa gari husika.
 
mpaka anakuwa na horse power 2000 hapo modifications anakuwa amefunga turbo charger nyingi/zenye uwezo mkubwa sio?
Inategemea, nimeona wengine wameweka turbo 4 kwenye gari, lakini pia unaweza kuweka turbo moja iliokuwa kubwa na ukafikia malengo. Ila ujue tu, ukifika maeneo hayo ya 2000hp maanake mafuta nayo sio shida kwako
 
Yaani LC nayo gari kwenye mbio au tunaongelea nini?
Hizo ni za kazi rough road mzigo sawa hiyo haikuti Ist
 
kwanini supercharger ni ngumu kupatikana?
 
Kama huna plan za modification, basi yenye 3sge beams bora. ni nyepesi kuliko yenye 2jzge. 2JZ imeizidi 3s kama kwa horspower 20 ivi. Lakini usishangae mwenye 3s akawa mbele yakokwa sababu yenye 2jz inakilo nyingi zaid ya 3s
una maoni gani kuhusu Supra.hii nimeona engine code wameweka ni 2JZ nadhani ndo ile ile 2JZ GE.(nirekebishe kama nimekosea hapo).cc ni 2990 ila wheel drive wameweka dash sijaelewa wamemaanisha nini.cheki hapo chini
 
Umeona imeandikwa rear wheel drive? Kama ni hivo maanake nguvu ya engine inapelekwa maringi ya nyuma ambayo ndio yanasukuma gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…