Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
ipi ina performance nzuri rear wheel drive au yenye wheel drive mbele na nyuma?Umeona imeandikwa rear wheel drive? Kama ni hivo maanake nguvu ya engine inapelekwa maringi ya nyuma ambayo ndio yanasukuma gari.
All wheel drive huwa mostly ni useful kwenye special conditions tu, mfano kwenye snow na matopeni. Kwa matumizi ya hapa bongo tu, all wheel drive sedan ni kujibebesha mzigo tu naona. Tuned cars huwa rear wheel drive, ndio unaziona kwenye drag race. Sio kwamba hakuna AWD au FWD ila RWD ndio bestipi ina performance nzuri rear wheel drive au yenye wheel drive mbele na nyuma?
gari ya AWD inaweza ikafanyiwa modification na kuwa RWD?All wheel drive huwa mostly ni useful kwenye special conditions tu, mfano kwenye snow na matopeni. Kwa matumizi ya hapa bongo tu, all wheel drive sedan ni kujibebesha mzigo tu naona. Tuned cars huwa rear wheel drive, ndio unaziona kwenye drag race. Sio kwamba hakuna AWD au FWD ila RWD ndio best
Inawezekana, ila sioni mtu akifanya hivo. Hakuna izo kits za ku convert AWD to RWD labda kwa special vehicles na sio rahisi izo kits.gari ya AWD inaweza ikafanyiwa modification na kuwa RWD?
thank you for the information mzee nataka nitafute supra 2JZ nikaipige na modification ya turbo chargerInawezekana, ila sioni mtu akifanya hivo. Hakuna izo kits za ku convert AWD to RWD labda kwa special vehicles na sio rahisi izo kits.
Mi nahisi unataka kufanya tukio kwa kutumia gari la Alteza unataka kujua namna gani utawakimbia polisi. Anyways, mi naonaga Alteza inapiga makelele tu ila iko palepale utadakwa fasta
naona mnaongea ongea tu...my highest driving speed ilikua 120km/hr niliendesha kama dk 5 au 7 hivi nikasikia ule wimbo wa KKKT wa si mbaliiiiiii...karibuuuuuu tutafika ma sisi hukoooo...nikarudi 80...pamoja na ujasiri 180 sio mchezo arifu ...labda kama mimi cjui magari ...mimi nadhani zote ziko sawa labda tofauti ni tafsiri ya dereva kwenye dashboards... haya mabasi ya mikoani kuna baadhk yanafikaga 140 unasikia abiria wote wanakemea mapepo..wacheni masikhara na hizo no hapo kwa dashboards
Kama hela ipo mbona fresh sana. Ila kwa bei ya supra, unaweza kununua Altezza na kuiweka 2jzge na kununua turbo kits na ku gain nguvu kubwa sana tena sana kwa izo hela. Ila kama umependa muonekano wa supra pia fresh.thank you for the information mzee nataka nitafute supra 2JZ nikaipige na modification ya turbo charger
ila Supra inaonekana sio nyingi hapa bongoKama hela ipo mbona fresh sana. Ila kwa bei ya supra, unaweza kununua Altezza na kuiweka 2jzge na kununua turbo kits na ku gain nguvu kubwa sana tena sana kwa izo hela. Ila kama umependa muonekano wa supra pia fresh.
Ukinunua wapelekee jamaa wanaitwa Geartech perfomance, ndio kazi zao izo kwa hapa TZ.
Anayo jamaa mmoja anaitwa Jason Frisby kama sikosei, iko tuned nayo.ila Supra inaonekana sio nyingi hapa bongo
hivi uwezekano wa kuagiza body peke ake upo?Anayo jamaa mmoja anaitwa Jason Frisby kama sikosei, iko tuned nayo.
Afu hii machine ikiwa manual ndio inakua na mzuka sana,though manual zenyewe huko zinapouzwa ni adimuna zikipatikana mostly zinakua expensive kuliko auto.una maoni gani kuhusu Supra.hii nimeona engine code wameweka ni 2JZ nadhani ndo ile ile 2JZ GE.(nirekebishe kama nimekosea hapo).cc ni 2990 ila wheel drive wameweka dash sijaelewa wamemaanisha nini.cheki hapo chiniView attachment 1523175View attachment 1523176View attachment 1523177View attachment 1523178View attachment 1523180View attachment 1523182
Hamna mkuu. Huwezi kuagiza body tupu. Kupata body tupu umkute mtu alikuwa anaivunja na kuuza spea, kitu ambacho sifikiri kama utaona supra inafanywa ivo.hivi uwezekano wa kuagiza body peke ake upo?
hivi hapa hiyo million 54 ni pamoja na tra au?Hamna mkuu. Huwezi kuagiza body tupu. Kupata body tupu umkute mtu alikuwa anaivunja na kuuza spea, kitu ambacho sifikiri kama utaona supra inafanywa ivo.
hivi kwa magari mengine kuagiza body mpya inawezekana?Hamna mkuu. Huwezi kuagiza body tupu. Kupata body tupu umkute mtu alikuwa anaivunja na kuuza spea, kitu ambacho sifikiri kama utaona supra inafanywa ivo.
Manual ni adimu sana kuzikuta. na huwa ghali. USA ma tuners huwa wanabadili gearbox wanaweka za manual, lakini sio kutoka kwenye supra engine. Huwa ni za gari nyengine, lakini inahitaji ujuaji ujue ipi inafaa, especially kamaAfu hii machine ikiwa manual ndio inakua na mzuka sana,though manual zenyewe huko zinapouzwa ni adimuna zikipatikana mostly zinakua expensive kuliko auto.
Hata hapo be forward Supra zinazouzwa ni 16 lkn manual ni 4 tu.
Bei ya kuinunua tu hio.hivi hapa hiyo million 54 ni pamoja na tra au?View attachment 1524151
Mitandaoni huwezi. Body tupu uende kwenye junk yards. Kama una mtu UK au Japan, ndio umpe io kazi aingie kwenye junk yards akutizamie. Uko beforward na wenzake huwezi kukuta body tupuhivi kwa magari mengine kuagiza body mpya inawezekana?
Speed gauge ya cruiser mkonge imemarkiwa mwisho 200kphIvi! nilikuwa nataka kufahamu kwa details za kiufundi kuhusu hizi gari mbili kati ya Toyota Land Cruiser zinazoitwa Hardtop na hizi vigari vidogo vinavyoitwa AltezzaView attachment 673290
ni gari gani hapa inayoweza kumshinda mwenzie kwa speed, yaani ninapozungunzia speed namaanisha ile ya distance covered by time. Maana yake hizi Land cruiser naona zinasifiwa sana utasikia ''mkonga huo baba usifuate" nilipofanya utafiti nikagundua huwa zinatunika katika wizara mbali mbali mfano maliasili ndio gari zao sana na ukija kwa polisi dah! si mchezo yaani zipo tele tena wanazitembeza si mchezo, kuna siku nilijaribu kuifuata Hardtop moja hivi ilikuwa imebeba mafuta ya minara, aisee sikuiona kabisa.View attachment 673287
hahahaaa!! itapata madharaSpeed gauge ya cruiser mkonge imemarkiwa mwisho 200kph
Speed gauge ya alteza mwisho 180kph
Ukubwa wa Engine
Alteza 2000cc
Cruiser 4500cc
Kwa madereva wenye viwango vilivyo sawa
Alteza itaachwa. Na alteza iking'ang'ania kufukuza bila shaka engine yake itapata madhara.
wewe ndio wale wanaosema 6 inakimbia kuliko 4 cylinders. Au 6 inakunywa kuliko 4Speed gauge ya cruiser mkonge imemarkiwa mwisho 200kph
Speed gauge ya alteza mwisho 180kph
Ukubwa wa Engine
Alteza 2000cc
Cruiser 4500cc
Kwa madereva wenye viwango vilivyo sawa
Alteza itaachwa. Na alteza iking'ang'ania kufukuza bila shaka engine yake itapata madhara.