Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Mbona unaongelea vitu absract sana? Ni kundi gani la watu au taifa kwa ujumla lilofanikiwa kwa kusamehe maadui zake?Mwalimu alifanya vitu vingi sana kwa ajili ya ukombozi wa Afrika, lkn ipo nguvu kubwa sana ktk kitu kinaitwa msamaha, pale unaposamehe adui zako,mbingu ufunguka na baraka uanza kukuijia juu yako, kitendo alichokifanya Madiba kilimpa mailegy ya umaharufu mkubwa sana duniani.
"Kuna nguvu kubwa sana katika msamaha" wasamehe wrote waliokukosea......
Na aliyemsaidia Mandela kupigani uhuru wa watu wake alikuwa nani?Mwalimu nyerere alipewa madaraka mezani yaani uhuru wa bendera ila Nelson Mandela alikaa gerezani gerezani kupigania uhuru wa taifa lake
😂😂😂 unachekesha bora ukawe comedian. Hao watu weusi ambao Mandela aliwapigania wanamaisha gani mazuri? Majority yao ni kama sisi tu tena bora hata sisi tunasimama na ka nchi chetu bila msaada wa Makaburu.Tanzania ipo ilipo kwa sababu ya misingi mibovu ya kiuchumi iliyowekwa na mwalimu.
Caring for Africa?? Inatufaidisha nini Leo? Umeskia raia wa south Africa kuzamia bongo kutafuta maisha?? Ni Sisi ndio tunaelekea huko.
Kila unaloshika halishikiki ndani ya Tanzania, na hii ni kukuonyesha kwamba muasisi alikosa maono. Lichama lake alilolianzisha ndio hili mnaliona ilimradi balaa juu ya balaa
When was the last time you visited SA??😂😂😂 unachekesha bora ukawe comedian. Hao watu weusi ambao Mandela aliwapigania wanamaisha gani mazuri? Majority yao ni kama sisi tu tena bora hata sisi tunasimama na ka nchi chetu bila msaada wa Makaburu.
Hao watu Mandela aliowapigania wangekuwa wana maisha mazuri wasingekuwa wanaogopa foreigners tena Waafrika wenzio.
Hivi wewe unajua dhiki ya civil wars? Unaelewa vizuri outcomes za tribalism?Mchango upi wa mwalimu mkuu Wakuitia nchi ufukara au? Katawala nchi miaka 20 kaicha nchi na watu wajinga na fukara kutoka wananchi wake mpaka seekali yake.
Nov 2018.When was the last time you visited SA??
Show me the stamps on your passport and I owe you first class dinnerNov 2018.
Thank you 😌Show me the stamps on your passport and I owe you first class dinner
You welcome!Thank you 😌
But I'm not showing you anything.
Pole kwa ujinga wa ubongo ulio naoMchango upi wa mwalimu mkuu Wakuitia nchi ufukara au? Katawala nchi miaka 20 kaicha nchi na watu wajinga na fukara kutoka wananchi wake mpaka seekali yake.
Hivi wewe unajua dhiki ya civil wars? Unaelewa vizuri outcomes za tribalism?
Eheeee ebu niambie hao watu weusi huko SA Mandela aliokuwa anawapigania wanamaisha gani mazuri?
Katika moja ya vitu ambavyo huwa sivielewi toka kwa waTZ wachache ni mawazo km haya. Hivi kweli mtu mwenye akili sawia anawezaje kufikiria jambo kama hili?
Hivi ukiulizwa kuhusu jinsi gani Nyerere alilitia umaskini/ufukara taifa la TZ utaweza kuelezea kwa ufasaha? Tusiwe km sponge
Sio vizuri kuwalinganisha.
Ila Kamabarage ni kiboko. Alikuwa na mapungufu sana ila alijitahidi.
Chezea mtu anaye come up na ideology yake mwenyewe inayosomwa na vyuo mbali mbali duniani.
Tanzania ipo ilipo kwa sababu ya misingi mibovu ya kiuchumi iliyowekwa na mwalimu.
Caring for Africa?? Inatufaidisha nini Leo? Umeskia raia wa south Africa kuzamia bongo kutafuta maisha?? Ni Sisi ndio tunaelekea huko.
Kila unaloshika halishikiki ndani ya Tanzania, na hii ni kukuonyesha kwamba muasisi alikosa maono. Lichama lake alilolianzisha ndio hili mnaliona ilimradi balaa juu ya balaa
ila mwalimu alitoa mchango mkubwa katika ukombozi wa nchi za Afrika na south africa ikiwemo
alitoa hadi rasilimali za nchi yake ili kusaidia Afrika. He saw the bigger picture
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu nyerere alipewa madaraka mezani yaani uhuru wa bendera ila Nelson Mandela alikaa gerezani gerezani kupigania uhuru wa taifa lake
Hujielewi na una mihemko.Akili yako imelewa Ujinga wa Lumumba, Samahani kama litakukera lakini huo ndio uhalisia.
Huwezi fananisha kabisa SA na TZ