Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Hahahaaa kwahiyo ideology ikifeli inamaanisha kuwa mtu hana akili?Hiyo ideology baada kumshinda ndio iliomfanya anga'atuke kwa kuofia aibu. Na ndio akatafuta mtu mwengine akamueka abadilishe policy za nchi.
Hujielewi na una mihemko.
Hao wenye maisha mazuri huko SA ni native Africans?
Kwanza unapajua vizuri SA?
Hahahaaa kwahiyo ideology ikifeli inamaanisha kuwa mtu hana akili?
Kwa mantiki hii basi hata Karl Marx alikuwa hana akili.
Unaonekana una upeo mdogo sana wa kufikiri na unadaka maneno ya vijiweni.
Hata hivyo ideology yake haikufeli 100% ilikuwa na mafanikio.
Sio kwamba na ingiza ubaguzi ila naongelea hali halisi. Waafrika hali yao sio nzuri huko ndio maana wakiona wageni au Waafrika wenzao wana panic.Naona unaanza ingiza ubaguzi. SA ninchi ya watu tafauti, Wenye akili wanatumia fursa wasokua nazo wanabaki nyuma. Hata hapa kwetu TZ huwezi fanananisha wahindi na wabantu kimaendeleo. Lakini cha msingi ki opportunities kwa nchi inazo tena nyingi na ndio mana mpaka wageni wengi tena walalahoi wanafaidika.
Kwa mantiki hiyo hamna aliyewahi kufaulu basi.Kuwa na akili na kutokua nayo sisi hayo hayana tija kwetu. Linalotuhusu ni kua alifeli. huo ndio uhalisia.
Unalinganisha vitu gani ?!Au kati ya Mwalimu na JPM nan zaid? [emoji23]
Hapo si kweliNa speech zake zinahisia sana kuliko mwalimu
Kwa mantiki hiyo hamna aliyewahi kufaulu basi.
Tena bora hata Kambarage alifaulu kwenye kuhakikisha hatajawahi kuwa na civil wars.
Sio kwamba na ingiza ubaguzi ila naongelea hali halisi. Waafrika hali yao sio nzuri huko ndio maana wakiona wageni au Waafrika wenzao wana panic.
Hata huku Tanzania anayetaka kufanikiwa atafanikiwa.
It's a no brainer.
Lol usinipigie kelele wewe ndo ume panic.Kwanini wapanic? kwa sababu wanawaona hao wageni wanapata maendeleo. Na ndio mana nikakwambia SA opportunities za kimaisha zipo, Na ndio mana wazungu, wahindi wanafanikiwa. Na hao wa bantu wageni nao pia wanafakiwa. Kwa hiyo hapo tatizo kubwa halipo kwenye nchi tatizo kubwa lipo kwenye watu wenyewe.
Hahahaaa kwa Afrika nitajie viongozi waliofanikiwa kuliko Mwalimu.Wapo wengi waliofaulu, na wapo wengi waliopiga haatua nzuri. Lakini na wapo waliofeli moja kwa moja akiwemo Mwalimu
Lol usinipigie kelele wewe ndo ume panic.
Sasa umesema watu ndo tatizo, shida kubwa kwa Mwalimu ikowapi?
Shida ni kuwa huyo Dos.2020 ni descendants of sultan hawezi mpenda Mwalimu.Lol usinipigie kelele wewe ndo ume panic.
Sasa umesema watu ndo tatizo, shida kubwa kwa Mwalimu ikowapi?
Hahahaaa kwa Afrika nitajie viongozi waliodanikiwa kuliko Mwalimu.
Huwa mnachukulia mambo poa sana.
Shida ni kuwa huyo Dos.2020 ni descendants of sultan hawezi mpenda Mwalimu.
Mimi nauliza ni utajiri gani ambao Nyerere aliupoteza kama mlivodaiMwana Lumumba kwenye ubora wako
Mimi nauliza ni utajiri gani ambao Nyerere aliupoteza kama mlivodai
Mwalimu siyo nguzo kuu ya umaskini Tanzania. Factors zipo nyingi tu, na ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika tupo well off.Shida kubwa kwa mwalimu kua ndio nguzo kuu ya Umaskini ndani ya Tanzania.
Na pia ni failure moja kwa moja as a President tena aliyetawal for 22 years.