Kati ya madirisha sita ya teller wa NMB, manne TEMPORARILY CLOSED. Hii tabia inakera!

Kati ya madirisha sita ya teller wa NMB, manne TEMPORARILY CLOSED. Hii tabia inakera!

4. Bank teller wao wachovu akiwa hataki kukuhidumia utaambiwa mtandao uko chini subiri sijui wanajua wateja wote makolo
 
Inawezekana unachozungumza ni kweli ila tambua kwamba hizo huduma kupitia simu ni wachache wanaozitumia.

Tembelea hizo bank ujionee mwenyewe zaidi ya hapo kama mtu anataka kudeposit 200m ataenda kwa wakala au ataenda bank?
200M hupangi nayo foleni mkuu. Kama unafanya hivyo unajitesa. Ukiwa na 200M unaenda moja kwa moja kwenye premier section au kwa teller wa bulk cash

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Wapuuzi tu, temporary closed kila siku! Madirisha 10, mawili tu ndio yana ma-teller, tena muda wote anaongea na mtu anaeingia mlango wa nyuma yake na kumpa vimemo vya kazi za kifanya, huku nyie mpo mmesimama kwenye line, pumbavu sana
Kweli mkuu na sijawahi kupata suluhisho la hili tatizo nchini.Bank nyingi au karibu zote tu madirisha ya tellers hua hayajai.Sasa sijui kwanini mabank hua hayatengenezi madirisha matatu/manne ya tellers kuliko kujaza mengi yasiyo na kazi.
 
200M hupangi nayo foleni mkuu. Kama unafanya hivyo unajitesa. Ukiwa na 200M unaenda moja kwa moja kwenye premier section au kwa teller wa bulk cash

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Hoja yangu ilikuwa kufahamisha kwamba miamala mingine huwezi kuifanya Yombo Dovya kwa wakala kwa maana unalazimika kwenda bank.

Hao wa bulk nimewaona leo wapo kwenye foleni then wakichukua mzigo kwa teller wanaingia room ya bulk.
 
Back
Top Bottom