Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
- Thread starter
- #41
Wezi sana hawa.Kuna siku nilikuwa nina uhakika kabisa pesa niliyompa ni 1M ila akajifanya nimempa 980K.
Tokea hapo nikimpa teller hela ninakodoa macho ipasavyo.
Leo kuna jamaa alinisimulia kwamba alimpa teller 3m kuhesabu anaambiwa 2,960,000/= jamaa akamwambia atapeleka taarifa kwa boss wake.Teller machozi yakamtoka jamaa akamsamehe.